@georges_kitchen: Umekula nini leo jumapili 😄🙌🏾 Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa @redgoldtz yaani products zao azikwepeki kabisa ❤️‍🔥❤️‍🔥🙌🏾 #virals #tanzania #kenya #fyp #georgeskitchen🇹🇿

George's Kitchen
George's Kitchen
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 13:33:01 GMT
576760
24352
209
841

Music

Download

Comments

hainanambkubalukatae
macho WABONGO :
asant kk
2026-08-03 13:08:01
0
teefortu2
TEE :
na iyo uloweka kweny ugali ndo ugali masala au😳😁
2026-07-30 14:41:40
88
troublemaker8692
.....🌸Ollie💃🍫.... :
Kaz ya vinegar n gan udugu
2026-06-16 20:24:51
6
lydiaedward2
mom E :
ila red gold waambie wa boresh peanut butter yao ni ngumu kama jiwe
2026-07-31 08:17:31
23
paulinecharles01
MC PAULINA 🎤 0762879660 :
Naomba kuuliza kilichowekwa kwwnye ugali pls
2026-07-30 17:28:26
12
nillan345
ine :
umeeka nini kwenye ugali
2026-06-15 11:30:33
23
zwangendaba17
kingzila :
dah mwamba hyo nyimbo ndo shida inapoanziga mnahisiwa vby
2026-07-31 12:35:37
3
mamu.akeh
mamu Akeh :
jamani mapishi han unatanguliza nyanya au mimi ndo sijui kupika 😅😅
2026-07-31 16:37:40
2
the__code__man
Mr_G_•°• :
bro uta oa kweli 😂
2026-08-03 13:52:17
0
neyurembo2
Ney urembo Quality :
hayo majani yanaitwajeee
2026-07-31 12:44:42
0
seweteryp
seweter :
msinitukane vinegar inatumika vipi
2026-06-15 07:01:22
45
cassandra777brightrich1
Cassandra Bright and rich😘 :
kwan main hayachemshwi??
2026-07-21 21:11:16
1
unknown84103
Unknown🦋 :
Mafuta yote hayojamn kweli
2026-06-15 10:40:48
13
user9973682195754
SSN :
too much oil
2026-06-17 10:42:57
5
amfetty06
Am Fetty🌺 :
Kumbe ugali unaviungo 😳😳
2026-06-15 10:35:57
6
liliechaz
MUMMIE PERFECT ✨ :
joji skia syllabus yako unaipeleke kasi sana dah🙆🥹🥰🙌
2026-06-18 09:05:33
2
langeni007
Breezy :
Asubuhi nlikula movies, mchana nikaenda kijiweni kula story na Wana, sahizi usiku nataka nile movies tena hapa ndo nilale...
2026-06-22 18:15:52
5
kazungu.og
Kazungu :
kwa mapishi haya ata mimi nisinge ondoka ningetulia nipewe dozi vizuri😁
2026-06-14 17:40:04
7
gloryalfred05
ladybird👩‍🔬🩺😍 :
kaka sijaelewa ni kwamba maziwa kwa ugali au?tafadhali nielekeze🫡
2026-06-24 12:01:09
5
bite182
bite :
mbona maji ya ugali ayajachemka au nimeona.vibaya
2026-08-02 14:40:31
0
user5071935371438
Maria :
Mimi nae kupika napenda sana 😂🙌
2026-06-26 11:32:19
2
aminaommy0
AminaOmar :
nilimwambia mtu wa chakula nimeshiba sasa nitafanyaje njaa imenishika ghafla😂
2026-08-02 13:08:32
1
cleopatrasalha
Cleopatrasalha :
Hayaa
2026-06-14 19:24:01
4
bi1allowed0
Butterfly♓👑🩵 :
aiseeee
2026-06-14 13:54:17
4
To see more videos from user @georges_kitchen, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About