@faridabeautyacademy: 🎓 BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA – MWEZI WA SITA! 🎓 TUPO DAR TEGETA NYUKI ☎️ 0657292650 📚 KOZI ZETU ✅ Makeup na Kusuka Nywele Aina Zote 💰 Ada: TSh 300,000 ⏳ Muda: Miezi 3 ✅ Full Course ya Salon (Kujifunza kila kitu kinachohusu salon) • Makeup • Kusuka Nywele • Kubond • Kuosha Nywele • Kuset • Kuweka Dawa • Facial • Wax • Na Mengine Mengi 💰 Ada: TSh 600,000 ⏳ Muda: Miezi 4 📌 Mahitaji ya Mwanafunzi: TSh 158,000 🏠 Hostel Zinapatikana Kwa wanaotoka mbali 💰 Ada: TSh 100,000 kwa mwezi 📍 Location: Tegeta Nyuki, Dar es Salaam 📞 Wasiliana Nasi: 0657 292 650 ✨ Jifunze Urembo kwa Vitendo na Uanze Safari ya Mafanikio Leo! ✨ FARIDA BEAUTY ACADEMY – Tunakujengea Ujuzi wa Kazi na Biashara.