@sheikhmaskari1: Katika ndoa furaha ipo katika kuyapuuzia makosa na mapungufu ya mwenzako... ikiwa wewe hujakamilika kwanini watarajia mwenzako awe kakamilika..ikiwa wew una makosa na mapungufu mengi tu kwanini unashindwa kumkubali na kumpokea mwenzako kwa makosa na mapungufu yake..usitake kwa mwenzako jambo ambalo wewe haunalo.. #tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibar #oman🇴🇲 #kenyantiktok🇰🇪 #islamic_video