@elias.ndosi: #creatorsearchinsights

Elias Ndosi
Elias Ndosi
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 17:25:07 GMT
49781
1042
98
242

Music

Download

Comments

timothy.festo
Timothy Festo :
Wew mbarikiwa tahila kweli
2026-06-15 10:55:44
8
madam_aggy1
Aggy :
Huyu anajifanyaga Mungu mtu simpendi huyuu
2026-06-15 09:19:50
9
user9492210170948
Evalist Joseph :
watumishi mbona mnampenda sifa sana, sote hatujakamilika hakuna aliekula mkate mzima wote tulikula vipande tu, anaetuhaza ni Roho acheni kukosoana
2026-06-15 07:31:32
6
elisantennko273
Elisante Nnko :
Leo nimemwelewa mbarikiwa kwakweli.
2026-06-16 07:45:35
7
user8559095166885
levina mabiki :
m mpaka mungu aseme na mm mwenyewe sitak kusikia maneno ya watu mana kila mtu anasema la kwake
2026-07-01 12:32:34
1
daudmakala
daudmakala :
sielewi kabisa
2026-06-16 20:51:21
2
hsdsgm
HDM :
so what is your issue
2026-06-15 15:27:22
2
mary.mwangobola
mary mwangobola :
wachungaji hhhhhh kwakweli mnatuchanganya san mna nini lkn
2026-06-15 07:53:03
4
anna.11.116
Aisha 11 11 :
Mimi Huwa skupendi jamani
2026-06-18 21:40:07
1
user284876948084972
charle B :
kwan kuna nini
2026-06-15 14:53:20
3
laurentnyamnini
laurentnyamnini :
Unavitu adim
2026-06-15 08:42:07
1
royal_1_priest
Royal Priest :
Tunae Roho Mtakatifu na anatuongoza siku zote wala humsikilizi mwanadamu yeyote.
2026-06-15 08:35:03
6
engineer.taura.jun
Taura electricals and Electron :
huo ndio ukweli kabisa
2026-06-15 12:27:37
2
user9817426354730
Elsa♥️ :
Eeee Mungu mpaka watumishi wanatukana watumishi wenzao Sijui😭😭😭
2026-06-24 16:26:49
1
jackline.mackline1
Jackline Mackline :
Aifai watu wa mungu kuyafanya haya ni vyema kuwahubilia watu habari za ufalme wa mungu na kutubu
2026-06-21 17:03:10
2
user8240261169429
lina :
asante sna baba
2026-06-17 22:52:00
1
mtumishi.agnes
Mtumishi Agnes♥️ :
tumuombe roho mtakatifu kweli atuongoze mwenyewe 🙏
2026-06-15 06:57:13
5
user627746149725
user627746149725 :
umejibu saili
2026-06-18 10:07:42
1
petro.albin
Petro Albin :
amina
2026-06-15 23:31:35
1
hadassahjon
eng hadassah :
😂😂kola for me🤣
2026-06-15 17:45:25
1
graciek90
Gracie :
upo sahihi
2026-06-16 09:42:03
1
emma.nyambinga
Paster Emma nyambinga :
Mungu atusaidiye
2026-06-15 19:08:54
1
gilelugala
4G :
duuuh tutayaona na kuyasikia mengi ,,,
2026-06-16 19:31:58
1
danielmwakagali35
Daniel Mwakagali :
Tafuteni kumjua Mungu na sio mambo kola,,,me nilitegemea utakaa uwafundishe watu kumjua Mungu we sijui unafundisha vitu gan ivo
2026-06-15 09:27:35
5
alphonce.john.the
Alphonce John The Elohim power :
hivi wachungaji mkoje?????!!!!!
2026-06-15 13:31:20
1
To see more videos from user @elias.ndosi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About