@abduli066zanzibar1: Huyu ni almarhum sheikh illunga hapa akizungumzia manyanyaso na mazila ya muungano wa tanganyika na zanzibar kumbuka huyu sheikh n mtangantika ajiyazungumza haya miaka kumi na zaid iliyopita mungu amrehem ...tuunganane kurudisha Zanzibar ilikuwa na mamlaka kamili inshallah 🙏

Abdulikiongozi 01
Abdulikiongozi 01
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 17:33:42 GMT
16328
646
39
46

Music

Download

Comments

khamisabdallahkha6
khamisabdallahkha6 :
allah akulaze mahali pema na akupe kila lakheri huko akhera
2026-06-15 20:55:48
20
shaban.ramadan54
Shaban Ramadan :
mungu,akuchome,ukouliko
2026-06-16 17:44:07
5
feisalkhalfan578
Feisal Khalfan578 :
asante kwa kusema ukweli baba mungu akusemehe makosa yako na akujaaliye pepo inshaawwa
2026-06-20 20:04:32
1
user24024190945116
user24024190945116 :
Huyu mzee nae!!!!
2026-06-18 18:29:31
2
user75427913869
user75427913869 :
Kweli kbx
2026-06-21 14:16:38
2
user69213939958382
Madam Zuri :
maana naona...
2026-06-16 14:52:36
3
omarimtiva
Omari Mtiva :
duu
2026-06-16 14:22:09
1
kijanaboy
Ramadhan Wabeto Wabe :
sahihi kabisa
2026-06-19 04:30:55
1
khamisabeid992
Mr, unguja :
Sanaaaa
2026-06-16 09:57:33
2
name.khamis463gma
Name [email protected] :
huyu mzee anajuwa na huyu ni mtanganyika anawaeleza ukweli
2026-06-15 13:19:17
10
azhar.msii1
Azhar msii :
Nafurahi sana kuona sasa hivi watanganyika ndo tunalia na muungano wakata wenzetu zanzibar waliukataa siku nyingi huko nyuma
2026-06-16 13:41:40
8
j2m86
jei2 :
wabongo musiipuuze iyo jifinzen
2026-06-17 11:58:07
1
mussacharles7445
mussacharles7445 :
:Tunakoelekea ndgu zangu watanzania sio kuzuri mmeanza kuzungumzia udini udini ,sasa mmefika kwenye muungano Leo mpaka mawaziri wanaropoka tu haya ni mambo ambayo sio ya kunyamazia kwani mwisho wake ni mbaya tu siku zote kama Kuna mahara hapako sawa chukueni hatua viongoz mnaohusika Baba wa taifa alikataa haya mambo aliona kwamba sio mazuri yataligawa taifa na mwisho ni mateso tu kwa pande zote mbili nawaomba watanzania wenzangu tuwe tunafikiria kwa upana zaidi wanaochochea Leo nchi ikichafuka wao Wanapanda ndege hao ulaya sasa sisi wengine hatuna pa kwenda Zaid ya Tanzania tulitunze taifa hili kwa pamoja kwa kushirikiana na kuwa kitu kimoja na ili kizazi kijacho kikute nchi Iko salama kama sisi tulivokuta Iko Salam Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
2026-06-16 21:46:04
0
instructor.hamid
Instructor Hamid 🚔 :
mzee huku Sasa mambo yamegeuka watanganyika ndo walalamikaji
2026-06-16 06:53:25
4
gadafi13224
gadafi :
Ukweli haupinhiki
2026-06-17 13:52:37
1
khamisabeid992
Mr, unguja :
Tumechoka
2026-06-16 09:57:40
2
sakha1950
Sakhaal Ally :
bado mmoja kuna muungano aina tatu shekh mbn mmoja hautajwi sana
2026-06-16 21:04:42
1
braino.27
braino.27 :
noma kweli😳
2026-06-17 22:07:56
0
abdukason
Abdukason🇹🇿 :
💯👊
2026-06-15 10:07:39
1
salimalnadaby
Salim Alnadaby🇴🇲 :
😎😎😎
2026-06-16 17:30:05
1
moza.mohammed77
Mwendo :
🥰🥰🥰
2026-06-17 18:24:30
0
To see more videos from user @abduli066zanzibar1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About