Amina kweli ni mungu azidi kuibariki huduma ta mbingu duniani
2026-06-14 18:18:09
1
Tabither john :
tumehitimisha kibabe saaana
2026-06-14 20:39:15
0
Wildvista_expedition :
Jamani Mungu yupo. Ashukuriwe MUNGU aliyeturehem bure wana Kilimanjaro. I really appreciate and blessed 🙌.
MUNGU awaited Nguvu sana Mbingu Duniani.
#mbinguduniani
2026-06-14 18:19:24
0
Pray Nassary :
Amen
2026-06-14 20:15:38
0
Apostle kev Mchomvu :
Nilikuwepo Asante mwalimu karibu tena
2026-06-14 20:15:17
0
user1984987381441 :
Mtoto wa MUNGU lazima awe nakibali kutoka kwa Mungu
2026-06-14 19:56:07
0
mama jj :
kweli hiki ni kidole cha Mungu mwenyewe Mungu akubariki sana mtumishi🙌🙌
2026-06-14 19:25:05
0
masai cute :
baba tunaomba ukumbuke dodoma jaman
2026-06-14 19:09:54
0
Moonbills⭐⭐ :
Mungu akupe miaka kama ya ibrahim.......baba huduma yako inanibariki kila siku,
2026-06-14 18:21:03
0
💕moshy lady :
hakika tumeona ukuu wa Bwana Mungu azidi kukulinda mtumishi wake
2026-06-14 18:32:46
0
Glory :
mungu atakupandisha mpaka mataifa mwalimu godbless u umetubadilisha haswa mwalimu
2026-06-14 18:59:52
0
Wilnes :
Namshukuru Mungu kwa kunipa kibali cha kuwepoo kwenye Hitimisho🙏 Hakika Mungu ni Mkuuu sana,Mungu Asinipungukie🙏
2026-06-14 18:24:07
0
Joyce Nnko :
Kilimanjaro imeitika kwel
2026-06-14 19:29:45
0
@its.vig.cotz :
GOD IS GREAT
2026-06-14 18:41:51
0
🦋manka🥀 :
ni wautele kweli jmn
2026-06-14 20:06:57
0
To see more videos from user @mwlonesmoprosperity, please go to the Tikwm
homepage.