@abdul.machine8: Baada ya nyimbo ya Urafiki wa mashaka. Kwenda hewani, nilipokea ugeni kutoka, Neighborhood Street Online Tv, kutaka kujua kwa undani histori yangu 1•Rafiki wa kweli, anapatikana kwenye matatizo. Bila kupata matatizo. Uwezi kumjua rafiki wa kweli ni yupi katika marafiki waliokuzunguka. Kwa sababu rafiki yako uliyekuwa naye kwa sasa Kama amevaa mask. Matatizo ndiyo yatafunuaa ile mask aliyevaa na hapo ndipo hutaiina sura halisi ya rafiki yako. 2•Tumezungukwa na kasumba kuhusu watu wenye ulemavu, mtu mwenye ulemavu kuwa na cheo chochote kikubwa, vaa mavazi ya thamani, ukipita mtaani wewe utaonekana ni omba omba kama omba omba wengine. #Tuheshimiane_ulemavu_sio_utegeezi #Kuwa_makini_na_rafiki_zako #mguu_utaongea

Abdul Machine
Abdul Machine
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 18:11:51 GMT
339
20
1
3

Music

Download

Comments

mudrickmohd5
mudrick .A.H.A :
🙏🙏🙏🥰🥰🥰❤️❤️❤️
2026-06-15 07:56:34
1
To see more videos from user @abdul.machine8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About