@irenefalifali: Mungu anajua kuna vitu ulivipoteza kama vile amani ya moyo,afya,uchumi,ndoa,furaha n.k,na Mungu huwa ana urejesho wa kurudisha kila kilichopotea. Jukumu lako ni kuomba kwa bidii bila kukata tamaa kila kitu kinakuwa sawa kwako.. Haya ni maombi yatakoyakusaidia kuomba kwa bidii na kurudisha kila kilichopotea MAOMBI Baba katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth Ninakushukuru kwa neno lako Ninakushukuru kwa huruma yako kwangu katika jina la Yesu Kristo maana imeandikwa 📖Luka 19:10 "Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea. Baba Nakuja mbele zako Narudisha amani ya moyo wangu iliyopotea Narudisha uchumi wangu uliopotea Narudisha Afya yangu iliyopotea Narudisha kazi yangu iliyopotea katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie hai maana imeandikwa 📖Yoeli 2:25 "Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu". Baba ninakusihi Rudisha miaka yangu iliyopotea na pombe Rudisha miaka yangu iliyopotea kwa kuibiwa na adui Rudisha miaka yangu iliyoibiwa na laana za ukoo Rudisha miaka yangu iliyopotea kwa kukosa maarifa ya kukujua wewe katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie kuanzia sasa Ninaamuru Magonjwa yaondoke kwangu Kukataliwa kuondoke kwangu Nguvu za giza ziondoke kwangu katika jina la Yesu Kristo Bwana Yesu Nipe neema ya kulisoma neno lako Nipe neema ya kukujua wewe zaidi Nipe neema ya kutokurudi nyuma kwenye jambo lolote lile katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie hai ************************************************Kwa msaada zaidi wa kujifunza neno la Mungu pamoja na ushauri na maombezi na kujifunza kuomba nitafute nitakusaidia napatikana kwenye namba zifuatazo +255685627663 +255610106040 #creatorsearchinsights

Irene falifali✝️
Irene falifali✝️
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 18:24:24 GMT
17149
1127
97
88

Music

Download

Comments

star.stanslaus
Star Stanslaus :
Amen ubarikiwe mpendwa
2026-06-15 08:58:57
4
user378448496286
user378448496286 :
amina
2026-06-15 01:22:24
1
sensational.woman5
Sensational Woman 🇰🇪🇮🇪 :
Hallelujah
2026-06-20 23:03:34
1
uissoadventures
UissoAdventuresAndSafarisLtd :
Amen Amen Amen o
2026-06-17 13:45:47
1
lizzy.mlay
Mtumba trends :
Amen Amen
2026-06-15 04:23:01
1
diana.mussa7
Diana Mussa :
amen
2026-06-16 15:27:19
1
lucy.charles833
Liciousgift :
Amen ubarikiwe sana Mtumishi
2026-06-15 04:07:36
1
nellychaula09
Neylove✨ :
Amen 🙏
2026-06-15 17:28:08
1
edgarsinkalla
Edgar sinkalla :
amen
2026-06-15 16:43:57
1
barbie79_0
Barbie :
Ameen
2026-06-15 04:09:19
1
user435618141154
emilian :
amen
2026-06-15 06:04:07
1
jamila.kilowoko
Jamila Kilowoko :
amina
2026-06-15 05:46:47
1
godblesswaziri
God bless Waziri :
amina
2026-06-15 04:58:08
1
cessylee3
Cessylee💞 :
amina🙏
2026-06-15 16:50:42
1
alicecute_collection
alicecute_collection :
Ameen🙏🙏
2026-06-15 01:49:13
1
rehemanmmari
rehemanmmari :
ameen
2026-06-14 22:32:06
1
bialow.mghamba
Bialow Mghamba :
amen
2026-06-15 06:10:00
1
sophiakina23
sophiakina23 :
Amina🙏
2026-06-15 05:11:50
1
user5694054932812
yunis tonny :
Ameni naiwe hivyo mtumishi
2026-06-15 02:10:55
1
user3995884517912
user3995884517912 :
ameeen
2026-06-14 19:16:57
1
magangajohn1
🍎 :
Ameen
2026-06-15 02:05:03
1
nancie.john8
nancie John :
amina napokea Kwa Jina la yesu
2026-06-15 07:17:10
3
dalali_baraka_arusha
DALALI_BARAKA_ARUSHA :
Napokea Uponyaji Kwa Damu yako Takatifu Mungu wangu 🙏🙏🙏
2026-06-16 18:42:21
1
user8191036924758
user8191036924758 :
amina mtumishi
2026-06-19 04:20:07
1
hadijaomarytz
Didah4672 :
Ameen 🤲
2026-06-14 18:46:06
1
To see more videos from user @irenefalifali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About