@swiiftiphonecenter: 🎥 Watu wengi huona video zilizomalizika... Lakini hawajui vifaa, apps na mfumo unaotumika nyuma ya pazia kuifanya content ionekane professional. 👀 Leo nimeamua kukuonyesha baadhi ya vifaa na apps ninazotumia kutengeneza content zangu kila siku. ✅ Camera setup yangu ✅ Vifaa ninavyotumia kurekodi ✅ Apps ninazotumia ku-edit Apps nilizotaja ni pamoja na: 📱 CapCut 📱 Edits Na kuna app moja muhimu sana ambayo sijaitaja kwenye video... 🤫 App hiyo imenisaidia kuboresha kazi zangu kwa kiwango kikubwa. 💬 Comment neno "APPLICATION" nitakutumia jina la app hiyo. 👇 Wewe unatumia app gani ku-edit video zako kwa sasa? #ContentCreator #CapCut #VideoEditing #InstagramTips #ContentCreation