@nayliu33: hakika Mungu ni muweza wa kila jambo

wema+whozu
wema+whozu
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 19:22:10 GMT
109989
5267
110
38

Music

Download

Comments

user1029058795685
happy nes :
hongera Sana wema hata Mimi ninaimani Nita zaa kwauwezo wa allah🤲 mungu akulinde pamoja na mwanao🙏
2026-06-15 06:05:26
10
miamihusseni
cre :
nimefulai🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-15 06:49:27
1
faila.jeradi
Faila Jeradi :
ongel san dad
2026-06-15 06:53:38
1
fribetha
Fribetha :
waooo
2026-06-15 06:46:54
0
user13843650117713m
user29398924787 :
kunyonyesha kuna Raha Sana Mungu awajaalie wanaotafuta watoto wajibiwe maombi yao pia
2026-06-15 06:12:44
12
deboraelisa155
Debora Elisa :
MUNGU amtunze mtoto mzuri
2026-06-15 04:06:56
19
life_with..me207
Happiness 😘 :
nyonyesha mwanayo dada mungu si mjomba wa mtu Wala Hana mshirika🤲
2026-06-15 05:03:15
10
jila.baby1
Jila baby ❤️❤️ :
Kwa kila anae muomba mwenyez mungu ambariki mtot mungu hana choyo ampe mtot Kwa uwezo wake allah. 🤲🤲
2026-06-15 05:54:54
11
benzi614
Benzi🩵🦋🦋🥰 :
Naming mungu aliyefanya kwa wema ipo siku atafanya kwangu
2026-06-15 07:12:32
1
hafsaally02
HafsaAlly :
Yan kila mtu Akija wema ananyonyesha MashaAllah hatak mtt akae mbal raha wallah
2026-06-15 05:33:53
8
mamitoyuu
binty Dhahabu 🥰 :
furaha ya tz
2026-06-15 06:40:22
2
usersafi231
safi :
mungu akukuzie
2026-06-15 06:52:12
0
emmanuel.tsongo3
EMMANUEL TSONGO :
hongera dada wema na mimi nina changamoto yaku kosa kuzaa ume nipa tumaini sana🥰🥰💪🙏
2026-06-15 07:06:03
0
lorraine.ngala
Lorraine Ngala :
Eee hata mjomba ni mama jameni nafurahia Wema Sepetu tu sana Mungu amlinde na Mtoto wake na amtendee mmema siku zote
2026-06-15 06:08:46
2
mrskalambo
Magret kalambo :
hongela
2026-06-15 06:24:53
1
user3686766196325
Rey chaz :
hongera mwaya
2026-06-15 07:11:56
0
mary105608
Mary :
hongera sana dada🥰🥰🥰🥰
2026-06-15 06:14:50
0
favouredone383
favouredone :
ananyonya?
2026-06-15 06:51:01
0
user250950432731
@rachel2043 :
hadi raha yani daa😅😂
2026-06-15 01:07:00
7
hawamohameed356
Hawa mohamedi :
Masha Allah sana ❤️
2026-06-15 02:03:04
3
07243gg
Pili Afande :
Mashaallah Mashaallah Allah akukuzie mtt wako awe mtt mwema inshaallah
2026-06-15 06:08:40
3
user15299030340943
mom twins :
hongera sana mungu akutunze na mtoto wako akuepushe namacho mabaya
2026-06-15 05:22:37
2
mrs.zeynab
Mrs zeynab :
mungu akueke mamy
2026-06-15 06:06:43
1
masokaomari
Masoka Omari :
nakupenda sana dada asante sana
2026-06-15 06:14:58
1
officialmuzik
nuna :
mjomba an njaa
2026-06-15 05:48:50
1
To see more videos from user @nayliu33, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About