@sanga37270:

Yesu
Yesu
Open In TikTok:
Region: ZM
Sunday 14 June 2026 19:54:59 GMT
61981
682
88
47

Music

Download

Comments

pekenyua
pekenyua :
hiyo kwacha 100 kwao ni laki namba zili zlipunguzwa ili kupata not Moja sema hajaelewa ndio maana million ya kwao kwetu ni laki na elf 40
2026-06-16 07:34:49
2
frankchilala98
Frank Chilala98 :
shilngi imeshuka kwa kwacha ni hela yakawaida
2026-06-15 21:13:03
0
user1372367256522
tayson :
kama niliwahi kusema zambia mm sishushi jiko kupika nisamehe nimetengua Kaur 😭
2026-06-15 17:58:33
1
princesses.minha20
Princesses20 :
Hiiz kwacha zina tufelisha sanaa
2026-06-16 16:47:01
1
emmanuellwidiko
kipanya82 :
wametuacha mbalii
2026-06-15 14:22:18
0
madamjaq00
Madam Jaq :
kwacha 1400 mshahara WA MTU Tz daah tutakoma
2026-06-16 17:44:13
0
26babilone
De_lastborne🗿 :
kila cku mchana nanunuaga ugali wa k80 kumbe ni Tsh11,800 🤦🙆 watu wa nyumbani wasije wakaniskia watanilaani😂😂😂🙌
2026-06-16 06:42:09
1
alyyu.bbz123
AY :
Hii app inaitwaje
2026-07-06 18:49:32
0
pritty196
@Itz_me🧚‍♀️ :
😂😂😂Yaan 80K 11000
2026-07-03 22:05:53
0
ramaar_hasheem
Ramaar The Driver :
nshiima
2026-06-16 16:12:11
0
user727673132266
IGA :
kivipisasa
2026-06-15 12:56:48
0
user9655296807437
Eunice🌹 :
kwahyo unasema nikiwa na kwacha 15000 kibingobongo ni ngapi😅😅😅😅
2026-06-16 17:10:33
0
user3884787108815
user3884787108815 :
duh
2026-06-15 12:38:33
0
jdboy154
jd boy :
njooo kwetu Tanzania elfu10000 hainunui ata kuku 🤔nachoka mimi
2026-06-16 09:23:20
0
dantown30
user7782346947487 :
Ndo maana ikaitwa pesa ya madafu baada ya miaka kadhaa mbele hela ya Tz itakuwa haina thamani kabisa kulinganisha na hela za nchi nyingi zinazotuzunguka
2026-06-17 08:28:01
0
jeremia.mwasomola
jeremia mwasomola :
hapana ugar na samak mkubwa ni kwacha 70×145=10150 ugar samak kipande kwacha 50×145=7250 hata mm nikaamua kupika wali dagaa kiukweli pesa ya tanzani imeshuka sana
2026-06-16 05:49:30
0
yusuph.mahenge2
💫fly away 💫 :
Zambia saizi ni rahanq ivi dollar imeshuka watu wewe
2026-06-16 07:20:52
0
samsanga748
money hunter :
😆😅 mim ni tajiri hiii trip kwacha inaenda kuni heshimisha ni mwendo wa kupika tuuu 😁
2026-06-16 07:46:14
0
022.sniper
022 sniper :
si kweli
2026-06-15 20:11:14
0
soles.cr4
SOLES CR :
jamani tunapita mmavuto manje!!
2026-06-15 18:30:12
0
issachundu
Issa chundu🇹🇿 :
Ah... kama tulivokubaliana majiko tunashushia nakonde2 hatutaki masihara 😂
2026-06-18 11:42:54
0
lusekelocharles30
mmojawapo :
kuchalo Zambia tunajidanganya eti wamepunguza sifuri🤣🤣 kukubali tumezidiwa no, ila wa bongo siasa kila mahali
2026-06-17 15:19:13
0
user6819770684085
fogo :
😂😂😂🤣🤣☺️☺️zambia kucharo kopala
2026-06-15 21:23:21
2
ferarr23
NDISA. :
wakati zamani 100k ilikuwaga shilingi 9000 haloo
2026-06-16 07:16:13
0
sonoflala7
sonOflala7 :
one hundr....😂
2026-06-15 18:26:09
0
To see more videos from user @sanga37270, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About