@radiomariatanzania: SI SAHIHI KUFANYA ISHARA YA MSALABA WAKATI PADRE ANAPOTAMKA MANENO HAYA - Ujumbe muhimu kutoka kwa Bi. Emma L. Mahengo - Mhamasishaji Mkuu wa Radio Maria Tanzania. . . www.radiomaria.co.tz #Miaka30yaradiomariaTz #Uinjilishajiupendonafaraja

Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 04:51:31 GMT
20388
1437
32
100

Music

Download

Comments

lieryendure
Jayjaywewe :
hata ukifanya ishara ya msalaba kila saa haina shida.
2026-06-15 09:33:35
7
stetter25
tray :
misa nzima inatakiwa iwe na Ishara ya msalaba ngapi?
2026-06-15 12:41:19
0
tisian255
Northern King 🇹🇿 :
CATHOLIC FOREVER ❤️❤️
2026-06-15 10:58:21
1
torry_suny
Mr Salva :
Amina
2026-06-15 05:19:11
5
deoamas
deoamas :
litrujia ni nini? je litrujia inahusika kwenye hizi ishara za msalaba?
2026-06-15 06:13:39
2
saraphina.julius
Saraphina julius Angel :
amen
2026-06-15 07:45:50
3
user615754305214
user615754305214 :
amin
2026-06-15 11:24:38
0
bettymatheww
mdalingwa betty :
asante sana dada kwa kutuelewesha
2026-06-15 12:50:17
0
pinyado.alois
Pinyado Alois :
Upo sawa kabisa. Kuna wakatoliki wanaofanya ishara ambazo Padre anapaswa kufanya Kwa Mujibu wa katekisi. Kitabu kinaelekeza " Hapa Padre atainama" Unashangaa muumini anainama pamoja na Padre, Kwa kweli mnanikwaza sana
2026-06-15 09:51:46
1
evance3910
Evance :
asante
2026-06-15 10:32:17
0
652361016maggie
maggie :
kabisa wengi wanafanya ivyo
2026-06-15 12:36:47
0
user276999216756
user276999216756 :
aksante dada
2026-06-15 11:57:14
0
leodgar.massawe
Leodgar Massawe :
Amina🙏
2026-06-15 07:16:36
0
onesmo.geraz
onesmo geraz :
cvvvv
2026-06-15 10:29:50
0
mama.onyango.mwan
mama onyango mwanahawa :
Asante dada
2026-06-15 05:47:22
0
irren.nganju
Irene 🥰 :
Amina 🙏 🙏
2026-06-15 08:15:21
0
lucybaraka148
🌹🦋miss 🦋kidonti 🌹 :
Asante
2026-06-15 10:11:03
0
user5996952074181
Doctor of Aluminium and Glass :
Exactly 💯🙏
2026-06-15 09:41:18
0
charles.chami3
Charles Chami :
Tunakushukuru tumesha kuelewa
2026-06-15 06:43:52
0
user6108055510912
user6108055510912 :
asante kwa kutuelimisha
2026-06-15 06:20:18
0
emmaadrian7
emmanueladriano :
🔥asantee
2026-06-15 07:03:33
0
louis.king476
Louis King :
Amina❤️❤️❤️😁😁
2026-06-15 13:21:33
0
patrick71930
PATRICK EDUARDO :
Sio sahihi maana ishara ya msalaba ipo mara mbili tu kwa misa au ibada ,mwanzo na mwisho
2026-06-15 09:40:00
2
yommi079
Yommi :
Hata nifanye ishara ya msalaba mia ni Imani yangu muache kukaza mambo mengine bana sisi waafrika sio waitaliano Mungu mmoja
2026-06-15 11:45:55
0
devothamtakilwa
kokutona :
sasa mbon watu kanisan wanafanya isharq
2026-06-15 05:28:24
0
To see more videos from user @radiomariatanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About