@mwl.emilian.katub7: Nimekuombea wiki hii katika jina la Yesu 1. Ulinzi wa Mungu uwe juu yako na kwenye kila hatua ya maisha yako katika jina la Yesu Unahitaji ulinzi wa Mungu juu ya maisha yako kinyume na mashambulizi ya kiroho. Biblia inasema Mungu alimzingira Ayubu kwa wigo wa moto pande zote Acha na wewe ufunikwe na nguvu za Mungu na ulinzi wa Mungu uwe juu yako 2. Kibali cha Mungu ambacho kitakufungulia milango mipya na kukuinulia watu wapya katika jina la Yesu Unahitaji kibali cha Mungu, Yusufu alipewa kibali, Esta alipewa kibali na wewe wiki hii Bwana anakupa kibali kwenye kila eneo la maisha yako katika jina la Yesu 3. Kila uchawi uliotumwa juu yako kuachilia matukio ya kukurudisha nyuma uvunjike katika jina la Yesu Imeandikwa hakuna uganga wala uchawi juu ya maisha yako Nimekuombea wiki hii ukafanikiwe katika jina la Yesu

Mwl Emilian Katubayemo
Mwl Emilian Katubayemo
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 05:20:05 GMT
6686
1010
180
73

Music

Download

Comments

gracemponda155
MRS WINGA :
Ameen kwa Kila kitu Cha wiki hii, mungu usinipite
2026-06-15 07:23:29
3
joyner4457
Joyner Anania :
Amen Amen Amen 🙏
2026-06-15 12:04:54
1
user75636553052022
Younq sad :
Amiña 🙏
2026-06-15 07:50:40
1
anifiakapinga
Niffer..💫 :
Ameeeeeen and Ameeeeeen 🙏
2026-06-15 07:42:19
1
lynn20250
lilydesigner 💅💃 :
Kibali cha bwana kinaniinua na kunifungulia milango ya baraka na amafanikio🙏🙏🙏
2026-06-15 07:49:54
2
user6082121690470
criss poll :
AMEEEEEEN🙏🙏🙏
2026-06-15 05:35:55
2
mamuh.mei
Mamuh Mei :
Ameniii
2026-06-15 07:48:25
1
ashuraramadhan170
Ashura Ramadhan :
amen amen 🙏🙏🙏🙏 nimepokea
2026-06-15 10:10:30
0
apolloniapeter
namwe :
Mungu naomba ulinzi na kibali juu ya Maisha yangu, Amen 🙏
2026-06-15 05:47:32
1
micheline.rehema7
Micheline Rehema :
amen amen amen 🙏🙏🙏
2026-06-15 14:01:52
0
user2944404791359
user2944404791359 :
amen
2026-06-15 13:53:12
0
melvynechesa263
melonechesa :
Ameeeeeen amen 🙏🙏🙏🙏
2026-06-15 13:55:25
0
rizikikabugoyi
RIZIKI KABUGOYI :
Amen amen
2026-06-15 13:50:47
0
valentine8453
Valentine🥰 :
amen
2026-06-15 13:45:51
0
sophia.isack0
Sophia Isack :
Amen Amen🙏🙏
2026-06-15 13:44:52
0
ukambeusimpleq
miss kambe 🦋 :
amen àmen
2026-06-15 10:25:24
0
doreenactress1
Doreen❤️ :
Ameeeeeeeee🙏
2026-06-15 09:31:41
0
kalukikalukiflomu
Muteti Flo Muteti :
Amen, I receive in Jesus name
2026-06-15 07:06:45
0
feza3193
feza :
amen🙏🙏
2026-06-15 14:10:02
0
ayoubmgohele
ayoubmgohele :
Amen
2026-06-15 13:05:09
0
user91753000328162
zippy 💞 :
Amen 🙌🙏
2026-06-15 08:03:36
2
user3147552937387
neema stanley :
Ameeeen🙏
2026-06-15 14:05:14
0
dafri469
Dafri❣️ :
Amen Amen
2026-06-15 13:17:15
0
cute5gmailcom
Rael :
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-15 13:06:18
0
joyce_gubwe
wau gubwe :
aminaaaaa
2026-06-15 13:24:43
0
To see more videos from user @mwl.emilian.katub7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About