❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️siku moja natamani unibadilishe dini uniwekee mkono wako hiyo siku naiomba sana inshallha najua itafika mungu akuweke sana
2026-06-15 10:06:54
3
Shainona :
Waalaykum salamu
2026-06-15 13:17:23
0
khairaatkhalid4 :
Waleykm Salam warahmatullah wabarakatuh asante kw UKUMBUSHO Allah akufanyie wepesi Kila HATUA akuepushie mitihan akutilie baraka kweny maisha yako na ATUJAALIE MWISHO MWEMA
2026-06-15 12:09:33
0
Halima Suleiman Abdallah :
mash allh
2026-06-15 12:16:43
0
Muhammad Shekolowa :
sasa wew mh
2026-06-15 11:49:52
0
Fahad Hemed FAHAD :
masha Allahh
2026-06-15 11:05:16
0
amza :
mwalimu nakupenda juuya allah
2026-06-15 11:58:59
0
Hadija Juma :
Wallaykumslam, shkh wangu nakuombea afya njema na mwisho ulio mwema