Mmh!! Mi Nimeongeza Umakini na Usikivu Nikajua Mh.polepole Kapatikana huko Songea, Aaah! kumbe Ndege Barafu tena Imeyeyuka daah basii😭😭
2026-07-29 11:47:32
4
Witness Joseph :
umetupa habari zamaana sana
2026-06-15 16:04:33
5
nelsonhewa :
MUNGU AKULINDE
2026-06-15 15:57:04
7
Manyama Rukonge :
nikajua anasema hatima ya pole pole kumbe anakuja kutuletea sitori za ndege sisi ndege kupotea kati ya ndege na mtu nani anathamani kubwa yani binadamu bwana
2026-07-26 15:30:35
3
Zay Mu :
acha uchochezi
2026-06-17 22:49:58
0
biggy :
Duuuuuh!!! kazi tunayo
2026-06-15 07:42:21
8
yohana dioniz :
unajua serikari yetu Kwa Sasa tumuombetu mungu atusaidie bila hivyo hatujui tunaelekea wapi
2026-06-17 11:16:16
2
philimonmasangu95 :
sawa chaw hawezzi kukua unga mukono ilove you 💪💪💪
2026-06-15 07:24:39
7
MWANZA TZ :
mmmh hii Nchi
2026-06-16 21:01:37
4
Maryam_ :
haya baba👍👍👍
2026-06-15 06:24:17
5
Moddy Max :
Hivi kweli ile ndege iko wapi guys, naikumbuka ilikuwa inatua viwanja vitatu tu Tanzania nzima, Dar, Kilimanjaro na Mwanza.
2026-06-15 10:56:44
14
Bahati mahe :
kwaiyo tufanye nini sasa
2026-06-15 16:17:49
5
smartsolutionstz :
Sasa nchi nzima alarm ya Tv ni elfu20/-
2026-07-26 20:43:37
1
Angel Maduhu :
Mungu akulinde sana🙏🙏
2026-06-16 19:17:53
3
Angela buchu :
ulikua wapi
2026-06-15 17:07:10
3
traore 🇹🇿 :
Wanafiki
2026-06-16 23:00:03
2
To see more videos from user @sauti_ya_duniatv0, please go to the Tikwm
homepage.