@robbyplatnumz: Ludelph amemfurahisha mke wake wa pili kwa surprise ya gari jipya, huku mke mkubwa na wa mwisho wakibaki na vicheko na furaha tupu. ๐๐ Hongera sana Ludelph! Allah akuzidishie zaidi na akujaalie mafanikio tele. Ilikuwa ni heshima kubwa kuwa sehemu ya safari hii na kuniamini kukamilisha jambo lako. Shukrani pia kwa Ally Magari kwa ushirikiano mzuri. ๐ค๐ @_iam_allyy @dabrah_19 @kamage_og @champ_mshada ๐๐๐๐ค๐ต๐ธ๐ต๐ธ๐ต๐ค Muda mzuri sana tuliokuwa pamoja, na hakika hii ni kumbukumbu ya kipekee. Hongera tena! ๐
Robbyplatnumz
Region: TZ
Monday 15 June 2026 06:20:59 GMT
Music
Download
Comments
Hamida :
Tafadhali naomba hio nafasi moja iliobaki, niwe mke wa4
2026-06-15 15:56:19
95
malkiabizuri :
mke wa 3 nimrembo kuliko hongera kaka
2026-06-15 16:28:39
40
H.Cute :
Bado nafasi Moja Nina kazi nayo bi Amina hapa pls nawaomba ๐คฃ
2026-06-15 17:31:08
20
Aisha Juma :
Ludelph mwenyewe sasa
2026-06-15 16:00:48
22
Shishivanny81 :
Hawa wote wake wa mme mmoja?๐ณ๐ณ๐ณ
2026-06-15 08:36:51
17
bokeemanueli :
Yani mm mme wangu anao zaidi ya 8 lakini baisikeli atuna
2026-06-16 09:34:21
7
Evelyne _๐ฆ๐ฆ๐ฆ :
me natafuta mme seriously niwe mke wa pili
2026-06-15 18:32:56
5
ummynana :
Namuunganisha mumewangu na hizi baraka lakini sitaki KUSHARE๐๐๐๐
2026-06-15 17:52:16
10
Salma :
Mashallah ila jitaid pia uwekeze na kwenye dini mwanamke akiwa na dini n faida sana kwako na kwao pia ๐ฅ
2026-06-16 04:27:22
7
xanurath ๐บ๐ฑ :
mke wa 3 mzur
2026-06-16 09:09:42
5
Firstlady15 :
Nauliza kuna nafasi ya mke wa nne???
2026-06-16 12:27:23
2
Abby boy :
Ludelph kasha funga dirisha lausajili
2026-06-16 09:14:48
0
Iam Rahma_tz :
naomba niwe mke wa 4
2026-06-15 17:54:46
1
Jojotz๐ฆ :
oyaah hakuna nafasi hapo nijiweke๐๐๐
2026-06-15 17:45:14
0
NIPHA TZโค๏ธ๐ :
Mm naomba niwe wa4
2026-06-15 20:13:50
1
mellisa :
bwana mambo ya burudani Kwa wote hata cyawezi mm
2026-06-15 17:32:12
2
Officially didah โค๏ธโค๏ธ :
Anasemaj kuhus kuongeza mke wa nne
2026-06-15 18:27:57
2
Irene โค :
Jaman nauliza tyu sio kwa ubaya, je aitaji mke mwingine ๐ฅบ
2026-06-15 20:07:47
0
claudiajonas1 :
Naomba kuolewa mke wa nne
2026-06-16 10:14:38
1
To see more videos from user @robbyplatnumz, please go to the Tikwm
homepage.
ยฉ 2021-2026 TikWM. All rights reserved.