@tztrendinghabari: Wambea mtaweka wapi sura zenu..? Haya mlidai Mama Ollie anaficha tumbo kawaonyesha sasa tumbo hilo hapo mtakuja na hoja gani tenaaa..? Itoshe kusema mmeumbuka pyeee 😂😂😂😂 #fyp #tiktokviral #tiktokkenya #tiktoktanzania #tiktokeastafrica