@ekadeli.media.026: 🚨 Transend yageuka uwanja wa vurugu! Mashabiki waliovamia uwanja wakasitisha mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu kati ya Jobo na Solidarity. Kilichotarajiwa kuwa burudani ya soka kikageuka sintofahamu! 😳⚽ #Transend #SolidarityVsJobo #FootballDrama #TikTokViral #KSSAFootbal