@atuganilemwakosya: MCHUNGAJI KELVIN MAKOYE ATOA ONYO KWA WANAUME WANAOTEMBEA NA MADADA POA Mchungaji Kelvin Makoye ametoa tahadhari kali kwa wanaume wenye tabia ya kujihusisha kimapenzi na madada poa (makahaba), akiwataka kutubu na kuacha mwenendo huo. Akizungumza katika mafundisho yake, mchungaji huyo alidai kuwa baadhi ya wanaume huamini kuwa kutumia kinga kunawafanya kuwa salama, lakini akasisitiza kuwa bado kuna madhara mbalimbali ya kiroho kwani Wanaume wengi nafsi zao zimeuzwa Kelvin Makoye
atuganilemwakosya
Region: TZ
Monday 15 June 2026 06:54:51 GMT
Music
Download
Comments
Jafari Kaseja :
MI HUWA NAONDOKANAZO.
2026-06-15 13:49:58
4
kapeto :
Mwenye masikio na asikie maneno ambayo Roho ayaambiayo makanisa.
2026-06-15 13:41:32
9
Kelvin Makoye :
Ujumbe wa wakati
2026-06-15 07:15:14
3
jonas :
powerful message man of God
2026-06-15 08:05:59
4
ahando mssamy :
mh sasa ulikua wapi unakuja kusema leo 😳😳😳
2026-06-15 17:18:42
6
user67437759749910J.maro :
mchungaji umeongea point
2026-06-15 19:47:45
2
frank :
Amina mutumishi wa mungu
2026-06-15 12:45:53
4
user3534178107470 :
Sema. Baba. Tupone
2026-06-15 15:10:21
3
Filex Moshi :
kweli kabisa mtumishi mungu akubariki
2026-06-15 15:35:44
3
Febe Bless :
uwakika kabisaaaaaaaa😂
2026-06-15 09:30:47
2
Lukas Makala :
ameni mchungaji mungu akubariki umetoa somo zuri sana
2026-06-16 06:01:31
1
SON :
amen
2026-06-15 19:06:20
1
Jesus Beloved 😍 :
Mwenye masikio na asikie
2026-06-15 10:38:18
3
DIASPORA OG :
Amina sana
2026-06-15 15:47:02
1
Sure Poul :
nitakuwa nabeba kabisa mbegu zangu
2026-06-15 21:22:16
1
BELIONEA CASH :
ameni
2026-06-15 15:04:29
1
Melichades Felician :
Amina
2026-06-15 09:56:20
2
Mr key :
amina
2026-06-15 14:19:13
1
Shanira Rashid :
tiktok mmmh
2026-06-15 15:54:10
1
Jeanine :
Mungu akurinde baba 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-15 15:19:23
1
Zacharia Laizer :
upo sahh mtumishi
2026-06-15 13:43:30
1
Bogalech Tafari :
Asante kaka dunia hii ni hatari
2026-06-15 13:26:21
1
JOSEPHU💒 :
amenn
2026-06-19 17:21:41
0
zakaz :
dah umenistua sana
2026-06-19 17:20:45
0
Daudi Minja :
kweli kabisa
2026-06-15 13:09:39
1
To see more videos from user @atuganilemwakosya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.