kweli 30 bongo kiboko mmewaburuza kabisa simba yaani leo tiktok kama vile hakukua na simba day khaa mmetufanyia vibaya sana bora mngeweka siku nyingine
2026-08-08 22:04:50
3
Azizah mo :
nilimsubir feruzi lakn nikapitiwa na usingiz🤣
2026-07-14 23:26:34
4
dayana rose :
welcome back baby🥰
2026-08-08 08:48:53
0
innocentdoser98 :
The way I was traumatized by this song kitambo😂😂😂😂