@mozannah: Assalam alaykum guyyss😍😍Haya tupike hizi chapati laini na tamu sana kwa kutumia prestige 😍😊Yani hutojutia . Mahitaji yetu ni -Unga 1/2 kilo -Prestige kijiko 1 na nusu -Chumvi 1 tspn -sukari kidogo -Maji ya baridi kabisa nimechukua kwenye frij -Maziwa ya unga vijiko 2 Utakanda unga wako ukishakuwa tayar uache kama dk 5 tu kata madonge yako na ukunje kwa kutumia hiyo hiyo prestige. Mi yangu ilikuwa ngumu nikaipasha kidogo tu, Ukishazikunja sukuma na uchome. Mi muda wakuchoma nimemix samli na mafuta ya kawaida 😍😍😍 Chapati zina upishi mwingi ni wewe na unavopenda ila mimi hiki kipimo ndo my fav yani😍 Enjooyyy #swahilifood #chapati #viral

mozannah
mozannah
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 07:34:54 GMT
92420
2905
68
311

Music

Download

Comments

his.....overdose6
💕mom & sis💕 :
hio ni mikate ya maji iloyokomaa sio chapati enzi na enzi za bibi na babu zetu chapati ni unga,samli,chumvi na maji,zilobaki muzibatize majina mengine ila sio chapati
2026-06-15 12:47:45
35
cutiemeenah
CutieMeenah 😘🧕🏻 :
Mashaallah Mashaallah 👌
2026-06-15 13:26:30
1
sabrinas_collection
sabrina :
Mashallah 👌💃🏻 will definitely try this
2026-06-15 21:08:27
1
mimi__mwenyewe
mr mm :
mnachukua oda au
2026-06-15 09:40:20
5
jamillahmngombe
Jamillah Mngombe :
waaaoooo yam yam
2026-06-15 11:49:49
1
jamila.islam709
Jamila Islam :
🥰🥰🥰pambe my
2026-06-15 19:18:18
0
itc_mimma
itc_mimma :
samahan ni amila au sukar umeeka
2026-06-16 17:05:50
0
farzanaabb
Farzana Bhaloo :
Mashallah, thanks for sharing the recipe ❤️
2026-06-15 17:53:11
0
ruwayda.soud8
Ruwayda soud :
Mashaallah tabarakallah chapati nzuri saana😋😋😋😍👌
2026-06-15 16:20:13
0
mamaabdul12
Mama Abdul :
maashallah 👌
2026-06-16 03:15:23
0
sitty443
sitty :
unajua kupika👍
2026-06-15 17:40:11
0
user3177441361155
Mwajuma :
m sijaelewa kwanichapat au m ndosijui 😳😳
2026-06-15 13:15:56
1
craftedtreats
Crafted Treats :
Samahani mashine gani unatumia kukandia?
2026-06-15 07:47:15
0
itsmetatlim
itsmetatlim :
Manshallah asante kipenz
2026-06-16 18:32:52
0
user3776943792586
user3776943792586 :
Asantee sana saaana na shemeg yako anavyopenda chapati jmn
2026-06-15 15:41:44
0
khanniebaraka8
khanniebaraka8 :
Na maziwa moto hapo
2026-06-15 12:48:01
1
thedon203
khanjr :
daaah siku mke wangu akijua kupika chapati kama izo nitamuacha mchepuko
2026-06-16 18:04:36
0
sweetmami73
sweetmami :
mashallah yamiii
2026-06-15 13:54:21
0
user5345195505735
[email protected] :
mashallah ❤️❤️💯
2026-06-15 14:26:39
0
enyola81
Enyola :
Sawa
2026-06-15 14:35:10
0
enyola81
Enyola :
Mashallah 🥰
2026-06-15 14:36:14
0
abrahamghazal86
Abraham ghazal :
Mashallah mashalal
2026-06-16 10:55:56
0
ummyjux445
Cute ummy jux💟❤️❤️💞 :
🥰 Mashallah
2026-06-16 05:17:58
0
am.zynerb
zeezub :
Ntaka mashine kama hio yako😍😂
2026-06-16 13:23:57
0
umm.tuli.6
Ammula Al-timimi :
maji umetia vp 1 mug ama
2026-06-15 10:07:43
0
To see more videos from user @mozannah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About