@selphix_media: Timu ya Taifa ya Iran imewasili nchini Marekani katika mji wa Los Angeles Tayari kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza dhidi ya New Zealand ambapo hotel yao ipo Manhattan beach #dodoma #tiktoktanzania🇹🇿 #fyppppppppppppppppppppppp #tiktoktrending #tiktokviral