@mwilismart: Umechoka na diets ngumu zinazokuacha na njaa? Huu hapa mchanganyiko wa siri: Avocado + Ndizi + Lozi (Almonds). Unajaza tumbo,unayeyusha mafuta, na Unakupa nguvu siku nzima! Unaanzisha safari yako lini? Ukitaka kujua kiasi gani cha PARACHICHI na NDIZI unachotakiwa kuweka kulingana na uzito wako wa sasa, comment neno 'UZITO' kisha weka kilo zako hapo chini mimi na timu yangu tutakujibu hapo hapo! 👇 #PunguzaUzito #OndoaKitambi #AfyaYako #WeightLossTanzania #SmoothieDiet