@_zuzaism: Part 100 | Tunazungumzia ukweli mkubwa uliofichwa katika dini - kwamba Ufalme wa Mungu unao ndani yako na wewe ndiyo temple ya Mungu. Tunashiriki jinsi Biblia nzima ni allegory ya safari yako ya kupanda uti wa mgongo, ambapo mbegu ya kiroho inazaliwa kila mwezi na inashuka hadi sacral chakra (kaburi) na baada ya siku tatu inafufuka. Tunazungumzia jinsi ubongo wako unazalisha mafuta matakatifu ya Kristo, jinsi Kundalini Energy inapanda kupitia mifupa thelathini na tatu ya uti wa mgongo (miaka thelathini na tatu ya Yesu), na jinsi pituitary gland inazalisha oxytocin (maziwa) na pineal gland inazalisha melatonin (asali). Tunaeleza kwamba enlightenment hutokea wakati mbegu hii inapofikia pineal gland, ambapo unakuwa na uzoefu wa kumwona Mungu face to face, na kwamba sacred secretion hii ndiyo fountain of youth inayoactivate junk DNA yako. #creatorsearchinsights #fy #innertemple #SelfRealization #zuzaism
nakubali brother nondo zako zinanifanya niwe huru sana
2026-06-22 08:41:59
2
Wanjiku njau :
very profound info, deep knowledge
2026-06-19 10:04:46
4
weirdous 😠 :
mkuu zodiac sign is real?
2026-06-22 09:39:27
2
Babansa. :
You are informed brother! We need to discuss a lot of things
2026-06-21 09:47:46
1
NURU Glow Tz :
natamani kujifunza zaidi bloo maana umeingia deep sana kias umenitamanisha naomba kujifunza
2026-06-21 07:31:03
1
godwinsalvador40 :
Power of knowledge 💪
2026-06-22 05:25:06
1
tecmary🌹❤️🥰 :
chakras ni nini
2026-06-19 22:38:43
1
T Five :
kaka you are amazing 🔥🔥🔥🔥
nakukubali nimepata maarifa makubwa sana sijayaona popote.
aliyekimbia masomo ya sayansi hapa atusamehe kidogo
2026-06-19 20:46:44
2
James :
we jamaa unajua saaana
2026-06-21 09:02:07
2
Jackline julius :
naelewaa vzuri kabisa
2026-06-21 05:25:27
1
Ummy Wahabu :
Unajua mpka unajua Tena🥰🥰🥰
2026-06-19 10:28:52
1
KISHINGO :
natamani sana kuelewa ila nashindwa why
2026-06-15 16:24:25
2
53653041 :
huna kitabu kwann mkuu
2026-06-21 09:15:30
0
Francis Fidelis :
mmmmmm
2026-06-21 16:27:43
0
Rahuum Lumineer ✨ :
Kuelewa Haya maarifa hadi uwe umeamka Kiroho, vinginevyo Utatoka kapa. Maarifa mazito sana broh 🙏
2026-06-22 11:44:50
1
ZAmbezi :
kuna kitu nawaambiaga bible ni symbolizm tupu na inaonglea ASTROLOGY njoo inbox nkupe video uendlee kuwfndsha
2026-06-22 03:25:57
1
sprogy.... :
nimekuja kugundua kua Bible kumbe inaongelea nguvu zilizo ndani yangu na sio nje ...
2026-06-22 07:57:10
1
Rwiza_Mchunguzi :
the kingdom of god is within u 1 kor 3:16 ngoja nitoe hekima kidogo shida IPO kwenye compilation walioandika vitabu walikuwa wavuviwa na kutembea na frequency za kiungu high frequency akina paulo, yohana na wengine Hawa hi real cousiness within you ambayo imezimwa na system ya dunia iliyotengenezwa kuthink or create In box and fit in ndio kizazi Cha Karne hizi ngumu kuelewa Kwa IPO 3d dimensional perception
2026-06-21 10:05:06
1
GN :
kwahiyo Mungu yupo??
2026-06-19 07:59:42
1
timothymichael563@25 :
mda mwingine naomba fundisha unachokisema kwa mfano fundisha uliposema kuumba pamoja na Mungu
2026-06-19 05:09:23
2
Mr J 65 :
Africa tunaenda kuamka kutoka kwenye utumwa
2026-06-19 15:20:19
2
Anna Siame :
tatizo kingereza
2026-06-22 05:41:44
1
pappayake mafresher :
tunaamka kwakasi💪💪💪💪💪👁️👁️
2026-06-21 11:30:18
1
amosmachete :
Nice. Exoteric vs Esoteric
2026-06-21 10:50:28
1
Officialzable_ :
exactly soma solomon & enock.
2026-06-20 14:47:45
1
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm
homepage.