@genemaxelectonics: Samsung 98DU9000 ni TV kubwa sana ya Samsung yenye ukubwa wa inchi 98, 4K Crystal UHD, mfumo wa Tizen, na imeundwa kwa ajili ya sinema ya nyumbani na michezo kwenye skrini kubwa. Bei - 7,200,000/- Sifa kuu: * Skrini: 98” Crystal UHD 4K (3840 × 2160) * Refresh rate: hadi 120Hz (Motion Xcelerator 120Hz) * Processor: Crystal Processor 4K * HDR10+ support * HDMI 2.1 (4K/120Hz gaming) * VRR na FreeSync Premium kwa gaming * Mfumo wa Smart TV: Tizen OS * Wi-Fi, Bluetooth 5.2, AirPlay na SmartThings built-in. Faida zake ✅ Skrini kubwa sana kwa movie na sports ✅ 120Hz kwa gaming laini zaidi ✅ Tizen OS ni rahisi kutumia na ina apps nyingi ✅ Inafanya kazi vizuri ukiwa na Samsung soundbar kupitia Q-Symphony. Call/whatsapp 0717071466