Aise nimebenchi sana kwa sh.50 miaka ya 2003-2008 aise umenikumbusha Buchosa kalebezo Disco za "Matongo,, Benja na dj wakerenyo -Ilenza moja, Mtazamo sound nyakarilo , Bahati bhugalama
2026-07-14 13:41:47
4
rosemaryemmanue@l265 :
nimekesha sana mim
2026-07-14 16:38:30
1
RevoJr$ Amida$christina ngosha :
zaman sana mwisho ilikuwa 2018 mwez wa nne 🤣🤣🤣🤣
2026-07-15 16:03:47
1
Mr Faru 🩸 :
nyimbo inaitwaje tafadhari
2026-06-15 17:02:14
0
kibelaofficial3456 :
jmn msukuma Mmoja ajitokeze aniambie kinachoendelea apo
2026-07-15 14:31:14
0
Joseph96Bukula :
uchafuhuo
2026-06-15 14:02:05
0
ester ruben😍 :
Ila wasukuma tunaweza saan 🥰🥰💯
2026-07-15 08:24:29
4
buseng'wa lukeresha :
wacha weee
2026-06-15 13:07:39
0
Ollver🥰🌹 :
😁😁😁😁😁😁😁 Nakubari
2026-06-17 06:53:04
0
Mc BIZMAN :
hatar sana yaan hiz KAZI ndo zikinifanya niwe nadindisha mda wote
2026-07-14 11:59:01
2
G jr@0675372222 :
daaaah oya eeeeh we acha tuuu inanikumbusha mbali sana
2026-06-15 20:12:25
1
@deuselias :
uminikumbusha mbaliiii sana kaka daaaahhhh
2026-06-15 12:08:25
2
David Mwanzalima :
stendishwo hizo
2026-06-17 07:39:11
0
Majaliwa :
1998 ha2002
2026-06-16 16:39:19
0
frenk mabondo :
mukoba
2026-06-16 20:18:53
0
B :
wap apo
2026-06-16 11:45:16
0
siba njile :
saw mnajtahd
2026-06-19 10:23:26
0
neema :
nimetoroka sana kwa ajili ya mziki nakumbka kunasiku nilisikia mziki kumbe ni kanisan nikasema nimeshiba kumbe nanjaa ile natoka nje niskilize na kumbe ni bendi za kanisa wewe iliniuma sana ngoma za kisukuma kihaya kikurya aaah zilinivuruga ila maisha aya🙌
2026-07-14 10:33:21
2
mzuri wa kome tz :
wapi apo wakuu
2026-06-22 19:15:38
1
Wawikole Nina :
Enzi zetu walikuwa wanavaa sare nyumbani raha sana asee umenikumbusha mbali sana 2008😂😂😂
2026-06-16 14:59:01
1
Nestory William :
2021 kidogo niwe mhuni pindi ichp
2026-06-16 17:33:13
0
DianaK :
2026-07-16 19:27:48
0
mihayoseleman905 :
mpaka nilifukuzwa nyumban kisa hela za maziwa hazifiki kwa mzee
2026-07-17 14:16:49
0
Marriam Robart :
hatal
2026-06-16 16:43:10
0
To see more videos from user @vickbros, please go to the Tikwm
homepage.