@automatewithai_tz: Acha kupoteza masaa mengi kujaribu kuelewa mambo magumu. Ukiwa na NotebookLM, unaweza kubadilisha PDF yoyote, tovuti, au maandiko yako kuwa mwongozo binafsi wa kujifunzia. Inatengeneza muhtasari (summaries), inajibu maswali, na hata kutengeneza Audio Podcast ya kukufundisha hicho kitu popote ulipo. Ni kama kuwa na mwalimu binafsi mfukoni mwako. Jaribu leo uongeze kasi yako ya kujifunza. #NotebookLM #AITools #JifunzeHaraka #SkillUp #StudyHacks