@islamicswahilinet: NI NANI BINTI AMBAYE BABA YAKE NI MTUME, MUME WAKE NI MTUME, NA KAKA YAKE PIA NI MTUME? As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 10:36:29 GMT
4530
190
4
3

Music

Download

Comments

cloudsgmail.com7
🥀 clouds🌥️🌸 :
N layyah bint yaqoub (r. a) ambae 1:baba yaken yaqoub( a. s) 2: kaka yake n Yusuf (a. s)) na mume wake ni ayyubu! (a. s)
2026-06-15 11:16:19
3
suheilasalim355
Suheila Salim355 :
Liya (Leah) binti wa Nabii Yaqub (Yakub). Baba yake alikuwa Nabii Yaqub. Kaka yake alikuwa Nabii Yusuf. Mume wake alikuwa Nabii Ayyub. Ndiyo maana husemwa: “Baba yake ni mtume, kaka yake ni mtume, na mume wake ni mtume.” 😊
2026-06-15 12:17:03
1
comorianprincess
comorian belle 🇰🇲🪷❤️‍🔥 :
Binti Imran baba yake ni Mtume Imran(A.S) mume wake ni Mtume Ayub kaka zake ni Mtume Musa na Mtume Harun(A.S)
2026-06-15 11:35:55
3
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About