kuna mm ninaependasana juice ya ukwajuu inasaidua nn
2026-06-15 11:51:25
2
Mammy 💖 :
Nyie tende na maziwa 😍😍 inaongeza damu haraka mimi last time niliambiwa sina damu niliponda juzi clinic damu yangu imeongezeka mpaka nurse kaniuliza umekula nini in a month damu imezidi imepita maximum 😌 nikikaa natizama movie snack yangu ni tende na maziwa ya baridi tu 🥰
2026-06-16 17:24:03
0
princess arwa :
doc mm mjamzito nimeandikkiwa tareh 19june ila kwanzia Jana usik naumwa na kiuno na chini ya tumbo na harisha je itakuwa ni uchungu umeanza nahofu nijibu
2026-06-15 14:59:55
0
Prettydatty🥰🦋 :
Doctor me nina mimba ya miezi minene ila nikila kidogo tu tumbo linajaa
2026-06-15 11:08:15
2
mwasity :
madhara Gani hutokea kama nimeanza kutumia tende tangu mimba ikiwa changa??? mana nimetumia nabado natumia kila siku nakula tende sita tangu mimba ikiwa na miezi miwili mbaka sasa ni miezi saba
2026-06-16 06:38:18
0
little 🌺odo🌺gian🌾 :
mim jmn spend vit vya sukar sjui itakuwaj man
2026-06-18 11:32:03
0
ummy nairah🥰 :
me nimeanza kula Bado mimba inamwezi
2026-06-15 20:31:21
0
fadhila :
unatakiwa kula tende ukiwa namiez mingapi yamimba
2026-06-17 08:49:36
0
Happie :
😁😁😁
2026-06-15 18:17:12
1
أوفيسيال نينة 💛 :
🥰🥰🥰
2026-06-15 11:08:43
0
Mom Sultan :
@Dr Jessy ni muda gan sahihi wa kuanza kula tende
2026-06-15 16:14:06
0
penda_org🌡 :
🥰🥰🥰
2026-06-15 16:52:27
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm
homepage.