@minoxidiltz: Minoxidil ni dawa inayotumika kupaka kichwani au kwenye mashavu. Kazi yake kuu ni kuchochea mzunguko wa damu kwenda kwenye vinyweleo vya nywele ili kuamsha vinyweleo vilivyolala, kuzuia upara, na kuotesha nywele mpya au ndevu Karibu dukani kwetu utapata member mark Minoxidil original kwa bei nafuuu Tunapatikana Sinza Makaburin Jengo La nakara center ☎️0742049661 #hairgrowth #beard #beardgrowth #Minoxidiltz #haircareproducts