@ney135961: hako katoto ka miezi mitatu miwili😅😅😅 adi kanafoka |

Mom ❤️G 😜
Mom ❤️G 😜
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 11:23:56 GMT
20328
639
109
32

Music

Download

Comments

happie9322
happie♓️ :
alooo najikuta na mm naongea ambavyo havielewekii😁🥰
2026-06-16 18:28:26
8
cleria821
It’s Cleria🌺 :
Mungu awabariki na ambao hawana wapate hii feeling asikudanganye mtu 😍😍
2026-06-16 18:28:44
7
mysonmyeverything1
KINSLEY 🇨🇬🇰🇪 :
mom,shooo Ggggggg OMG MUNGU nitunzie kichuna wangu 🥰
2026-06-16 16:54:02
2
faidha.masud
Faidha masud :
😁😁😁naskiagaa rahaa jmn mpk uchizi unanipandaga na mim nakuw naongea kam mtoto sas ni mwendo wa abujubuju jagbesesgjklhdf jhkhxyjovi jgjggdrdsdtstduf
2026-06-16 16:49:52
7
moureen.evance
Moureen Evance :
hii raha hakuna pa kuipata 😅
2026-06-16 15:39:42
4
tundawandiba
Tundawandiba :
Hii raha weeee acha tu, naomba Mungu awasaidie na wale ambao hawajabarikiwa watoto wapate ili hii raha waijue
2026-06-16 09:20:14
10
binti.wafula4
binti wafula :
hahaha chukukuu. chsMnhdjjsjjjs. abejunnnn
2026-06-16 16:57:06
0
jesca8751
jesca :
fuuraha kedekede mpaka nahisi kuchanaganyikiwa🥰🥰🥰🥰
2026-06-16 17:18:04
1
officialfadhila.abdallah
🦋🌸فضل🦋🌸 :
My son ako 2yrs ananishikiaga nyama tukate ananiambia "mama saidia😁" am really proud🥰
2026-06-16 18:40:24
1
sadacollection1
SADAH COLLECTION :
😁😁me kana miaka miwili ila tukiwa wote nikikohoa utaskia mama polee aumwa😁😁 na me nakajjibu asante baba
2026-06-16 13:44:37
4
dorry.cutee
Dorry Cutee🥰 :
raha sana jaman 🥰🥰🥰 Asante mungu pia wabariki na wengne🙏🏾
2026-06-16 09:04:25
4
consolatha43
being conso :
Raha sanaaa
2026-06-16 16:16:17
1
its_essy01
its_Essy :
awoooo abjubijubijubijuuu😂
2026-06-16 15:41:27
0
jessica.t426
Jessica :
tunaongea kama tunaelewana Raha sana
2026-06-16 06:50:34
1
itsrebby3
Rebby ❤️🦋 :
nafurahi sana😘
2026-06-16 16:55:39
1
vaile115
Ms kim 🐐 ♑️ :
nachoka mm😁
2026-06-16 19:03:35
0
user1514148029869
user1514148029869 :
I feel happy
2026-06-16 12:09:37
2
lovenessroger
Loveness Roger :
Raha sana asante MUNGU wangu kwa kunifanya niwe mama🙏
2026-06-16 10:51:07
2
glorytogod616
Prosperous😘🥰 :
Mm Jana wamelala mtu na kaka ake nikawaangalia nikaanza kulia Mungu kwa kunipendelea🙏🥰
2026-06-16 11:22:38
2
arola042
happy 4545 :
i'm feel happy🤣🤣🤣🥰🥰🥰
2026-06-15 13:43:40
4
marydiana.gasper5
Marydiana Gasper Marydiana Gas :
nafurahi mnooo
2026-06-16 16:52:30
1
berna.paul8
Berna Paul :
😂😂😂😂yan huw ninkam ninaelewa nakapenda mno wew usinshauri kabisa nakapenda mno yan
2026-06-15 19:23:56
2
marthjpotpo
Martha Paul :
naoshaa viomboooo oh Mashallah Mungu atulindie watoto na walezi🥰
2026-06-16 09:12:15
1
To see more videos from user @ney135961, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About