@official_idrissy: #officalidrissy #official

official_idrissy
official_idrissy
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 12:12:35 GMT
255992
32802
518
194

Music

Download

Comments

mshingo8
mshingo :
kuna wale wanajifungua hospital na sisi tunaojifungua vituo vya afya😂😂
2026-06-15 13:35:36
526
judithsangawe
judy☆🇹🇿 :
nandy amekabeba vzr jamn adi rahaa
2026-06-15 13:26:45
248
user7386132708183
Ozalyma precious the girl🧢🧢 :
waoooh! nimependa Nandi and his husband
2026-06-15 12:40:50
49
bethaamanigmail.com
Betha Amani :
Wema kasha Mc mwanae jamani mpe 🥰🥰🥰🥰🥰🥰anamungalia kama Nandi anataka kukimbia naye
2026-06-15 12:31:09
87
gloryzewanga
glory :
cjui kwann niliwah8 kuzaliwa sahv ningekua mtoto wa whozu na wema ningetangazwa dunia nzima
2026-06-15 17:22:31
68
nimoy029
Nimoy :
God, please protect this gorgeous family of wema💞💞
2026-06-15 18:33:41
20
mona.mj2
MJ :
Nandi ni mrembo jamani🥰🥰
2026-06-15 18:15:46
24
eliryn1
Lauryn mayerh :
In 6months mungu akupe mapacha 🙏🏽😍🥰😘👌
2026-06-15 16:47:26
10
user7690222410124
official fetty🍎🍒 :
nataman mm ndoningezaliwa nawema maana😂😂😂 lkn mamaanguu nakupenda sanaaahhh🥰❤️
2026-06-15 12:38:56
31
ukhty.nasreen
ukhty nasreen ❣️💯 :
wakenya mmeona lkn umoja wa wasanii wetu mna cha kujifunza hapa 😂😂💖💖💖
2026-06-15 16:24:34
38
user5529070226086
Nasrasumayya 2025 :
naya kakuwa ongeza mwingine kipenzi 🤣
2026-06-15 12:49:24
9
madam.mumu1
%mumu%♥️♥️ :
waoooooooo♥️♥️huwo ndiyo upendo unaohitajika Nandi na kipenzi chako mmejua kuwaziba wambea midomo👌👌mambo kwa ushaidi😂😂
2026-06-15 12:17:50
23
rehema.mponzi5
Rehema Mponzi :
nandy hanaga tabia za uongo apa ameniaminisha kitu wema hongera sana kipenzi mungu mbariki zaid whozu🙋🙏🙏💝💝💝💝
2026-06-15 15:46:37
9
user96776949256778
cute love me💓 :
ila nandy nimzuri mnoo
2026-06-15 18:47:31
7
hanifa.salim0
Hanifa Salim :
Wasani wa tz walahi wako na umoja nimependa ushirikiano wao haswa kina mama
2026-06-15 16:32:25
6
rejogo.com4
Mama Goldenboy poly ❤ :
Nawaza raha anayojisikia Whozu haki akilala km anaota nyie 🙏🙏🙏🙏
2026-06-15 12:37:47
7
user2231599343821
lizzy :
mtoto wa taifaaa mungu yupo naanajibu kwa wakt
2026-06-15 12:22:31
7
husnalikulile
Husna Likulile :
Mdogo wanguuu wemaa!unajisikiajee unapoonaawenzioo wamefurahii namna hiyooo???hongeraaa mama leoo umekuaa mamaa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿❤️❤️❤️❤️
2026-06-15 15:10:05
5
zoracute4
zoracute💕 :
hizo zote zilizo zagaa ni zawadi jamani mimi nilijifungua nikatembea kwa miguu na beseni langu kichwani mpaka nyumbani
2026-06-15 17:37:57
4
love104200
Love💕🥰 :
Raisi wamiaka inayo kuja 🥰🥰🥰
2026-06-15 17:55:18
1
honoratha8382
Honoratha :
mtoto anapokelewa duniani na kushikwa na mastaa tu, mashalaaah maisha yake yatakua na baraka nying sana 🙏 ishalaah
2026-06-16 13:02:32
2
cynthiamediana595
Being Mediana♥️ :
ongera sana kipenzi ❤️👌
2026-06-15 21:21:41
1
marydamagmail.com1
DAMA KOMBE :
Mungu ni mwema
2026-06-15 17:34:27
1
unice6
unik1 :
ukistruggle wit infertility no one is there to hold ua hands except ua husband.ukifanikiwa kila mtu anajitokeza
2026-06-15 19:57:26
2
angel.kileo83
Angel Kileo :
2026-06-15 15:08:45
2
To see more videos from user @official_idrissy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About