@bongofacts_tz: Ni dhahiri kwamba kuweka Kila mzigo kwenye moyo unajirudisha nyuma bila kujua, moyo sio kiungo Cha kubeba mizigo ya stress au mawazo. Upe moyo nafasi ya kujirelax na kusukuma damu Kwa ubora mengine yapotezee🤔 #viralvideo #trending #viral #facts #tanzania