@alfirdaus.foundation: Firdaus Hajj and Umrah limited baada ya kuweza kukamilisha ibada ya hijja wakiongoza mahujaji 48 kwenda kwenye miji mitakatifu makka na Madina wameweza kurejea salama na kufanya tathmini pamoja na mahujaji wake. @FIRDAUSS HAJJ & UMRAH LTD #hajj #umrah #firdaus #waislam #tanzaniatiktok

AL-FIRDAUS
AL-FIRDAUS
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 12:37:55 GMT
659
39
3
4

Music

Download

Comments

medyhunter
medyhunter :
mashallah mashallah Alfirdaus katika ubora wao Allah awazidishie
2026-06-15 12:48:01
2
cleanguthealth1
Clean gut :
Mashallah
2026-06-15 12:59:19
1
To see more videos from user @alfirdaus.foundation, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About