@iem_pius: 1. MIPANGO YAKO YA BIASHARA Sio kila mtu anayejua ndoto zako anatamani zifanikiwe. Wengine watakukatisha tamaa, wengine wataiba mawazo yako. Panga kimya kimya, kisha tekeleza kwa vitendo. 2. TAARIFA ZA KIFEDHA Usimwambie kila mtu unaingiza kiasi gani au una akiba kiasi gani. Pesa zako ni siri yako. Kadri watu wanavyojua hali yako ya kifedha, ndivyo matarajio, wivu na usumbufu vinavyoongezeka. 3. MBINU ZA MAFANIKIO YAKO Umejifunza kwa muda mrefu, umefanya makosa mengi na umewekeza muda kupata uzoefu. Sio kila mtu anayestahili kujua kila kitu unachofanya. Wapo wanaotaka matokeo yako bila kulipa gharama ya mchakato. 4. HATUA UNAYOPIGA KWA SASA Acha matokeo yaongee kwa niaba yako. Watu wengi hupenda kutangaza kila hatua wanayopiga kuliko kuonesha matokeo. Kila kitu hakihitaji kuwekwa mitandaoni au kuambiwa kila mtu. Kadri unavyopunguza maneno na kuongeza vitendo, ndivyo nafasi ya mafanikio yako inavyoongezeka. Biashara inakua vizuri zaidi inapolindwa na nidhamu, busara na ukimya wa kimkakati. Kama Unataka kuanza biashara kwa mtaji mdogo wa kuanzia sh. 1,000,000/- mpaka 2M Nitumie Ujumbe wenye neno BIASHARA kwenda whatsap number +255756133313 Share ujumbe huu kwa kijana mwenzako ili na yeye ajifunze #tiktok #viral #trending #trendingvideo #trendingreels

Pius Kichere🇹🇿
Pius Kichere🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 13:27:21 GMT
6414
124
5
11

Music

Download

Comments

annaaddidas
annapraise :
amen ase bro ulikuwaga wapi jamani yaan nimekuona mda umeshaenda sema nn ahsante kwa ufumbuzi mzur
2026-06-19 09:15:36
1
zigashanekabayong
Elie ziga Élias :
Amen 🙏🙏🙏
2026-06-16 18:01:07
1
rich_matelephone
Rich_matelephone📱 :
😁😁😁
2026-06-15 20:24:27
0
To see more videos from user @iem_pius, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About