@jackson.makasi7: Nakuwaza sana leo ❤️... Kuna sehemu moyoni mwangu imekaa kimya bila wewe. Nimekumiss kupita kawaida, hata vitu vidogo vinanikumbusha wewe. Natarajia kukuona au kusikia sauti yako haraka, maana uwepo wako ndio unafanya siku yangu iwe kamili. 🥺