@acidsolutioncenter: ⚠️ Unahisi kama kuna kitu kimekwama kooni kila siku? Unafanya juhudi za kunywa maji, kumeza chakula au hata kukohoa lakini hisia hiyo haiondoki? Watu wengi hudhani ni mafua, tonsils au tatizo la kawaida la koo. Lakini mara nyingi chanzo kinaweza kuwa ni Acid Reflux (GERD) ambapo tindikali kutoka tumboni hupanda hadi kooni na kusababisha uvimbe, muwasho na hisia ya kitu kukwama kooni. Dalili zingine zinaweza kuwa: ✅ Kitu kukwama kooni (Globus sensation) ✅ Kukohoa mara kwa mara ✅ Kusafisha koo kila wakati ✅ Sauti kubadilika au kukauka ✅ Kiungulia au moto kifuani ✅ Ladha chungu mdomoni Usipuuze dalili hizi kwa sababu zinaweza kuathiri maisha yako ya kila siku bila kujua chanzo chake. Je, wewe au mtu unayemjua amewahi kuhisi kitu kimekwama kooni kwa muda mrefu? Andika "NDIO" kwenye maoni. 📞 +255793561725 #AcidReflux #GERD #Kiungulia #AfyaYaTumbo #DrVeronicaAcidless