@dr.sophiak: Ofisi yetu mara kwa mara imekua ikipokea malalamiko kutoka kwa wananchi mbalimbali hasa VIJANA, wakilalamikia kunyimwa mikopo na taasisi rasmi kama mabenki. Lakini baada ya ufuatiliaji tukagundua tatizo kubwa ni MIKOPO YA KWENYE SIMU ambayo wamekopa na kutokuilipa ndio imesababisha wakakosa sifa ya kupata mikopo kwenye taasisi kama mabenki. Ni vyema elimu hii ikawafikia wengi!

Dr. Sophia
Dr. Sophia
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 15:02:36 GMT
37067
401
13
118

Music

Download

Comments

official_vice
Vincent kang'oma🫡 :
yes ni kwel
2026-06-23 10:07:10
0
veronica.luvindu
Veronica Luvindu :
marejesh makubwa sana tigo
2026-06-16 05:47:02
7
user2036988112465
yohana :
mnakua tu hamna hela
2026-06-23 14:20:35
1
ma.q2827
Ma Q :
basi mimi Sina sifa ya kukopa benk nimeshajiona
2026-06-16 06:17:07
1
soudy6663
soudy@666 :
kizuri yanalipika
2026-06-16 14:56:54
0
mbughunihancymbug
hancymbughuni :
mm stakopa😁😁tena benk
2026-06-19 15:36:16
0
emmanuel.bae.geuk
King 👑 Baek :
hata mikopo hatuitaji
2026-06-16 14:28:38
0
benedict.luvanda
ben :
sasa itakuaje... daaa...haya mambo ya kujiamulia sio powa
2026-06-16 09:33:47
0
calvincalvin2719
calvincalvin2719 :
Baaaasiii! nimeisha..🤣
2026-06-16 10:06:17
0
asia8659
asia :
woiiii 😁 waje na ushahidi
2026-06-20 14:43:10
0
hellenamagaya1
Hafsa wa Mhameed❣ :
@shazy baby
2026-06-16 06:41:07
0
cute_eyes0131
almaa :
🥺🥺🥺
2026-06-15 20:08:02
0
To see more videos from user @dr.sophiak, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About