@viorinfashion: Napenda kuimba kwa moyo wangu wote, napenda kusali kwa imani yangu yote, na napenda kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo yangu. Ninampenda Mungu kwa dhati, maana ndiye nguvu yangu kila siku. Najivunia kuzaliwa katika familia inayomcha Mungu na inayothamini sala, kwani imenilea katika misingi ya upendo, nidhamu na imani. 🙏✨#gospelmusic #viorinfashion #viralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 @Mamyprettyshazy💕❤️ @🌸 mamu g🌸🌸 @anivvley @Superansia Simon @Salma 1tz @zijosmileyy@g @Lucia ♥️

🙈viorin 💜 💫
🙈viorin 💜 💫
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 15:02:39 GMT
6768
689
70
4

Music

Download

Comments

i.am.mary01
Mary🧚‍♀️🦋 :
outfit kama io ntaipat
2026-06-16 07:04:29
1
seti_jr
Seti Jr :
noted mamaa☺️
2026-06-16 16:57:16
1
amluc50
Lucia ♥️ :
pastor ajipange😂🥰
2026-06-15 17:19:51
1
mafebi70
mariambizzu :
kama ulivyovaa bei gani
2026-06-29 15:37:23
0
movicedo
Movic eddo :
Mungu na akupe wa kufanan nae👋🙏
2026-06-19 06:09:28
1
amo.d88
BA_PULA TZ🇹🇿 :
wow jaman wapi hapo
2026-06-15 19:21:39
1
daniel.bukundi1
DANIEL BUKUNDI :
aya bhn Mungu akutangulie
2026-06-16 21:20:05
1
user4068347851142
Sugarcane💞💦😘🥰 :
iiiiish😂🙏
2026-06-16 10:19:56
0
hapiemiliam
hapie💖 :
barikiwa na Bwana🙌❣️
2026-06-17 18:15:34
1
user9325271222910
dorcas@reenpe :
Mungu azidi kua nawe watu wengne wakaweze kujifunza kupitia ww🙏🙏
2026-06-15 21:16:46
1
user9700458558024
𝔢𝔩𝔡𝔞𝔥☺💫 :
ubarikiwe🥰
2026-06-16 07:36:37
0
neema.michael955
Neema Michael :
sawa bint utapata anaemia bezi🥰
2026-06-15 15:17:37
0
user46281832729693
happie🎀🤍 :
amen
2026-06-16 08:45:06
0
caszilpa3065
lastborn :
amen dada
2026-06-17 09:26:38
0
medical.personel
medical personnel :
Mungu amekupendelea sana kpenz mtumikie siku zote kwa utukufu wa jina lake🙏
2026-06-17 08:49:07
0
1825bae
Assa@bae💜💫💕🌟💫 :
namuhurumia sanaaaa
2026-06-16 16:20:19
0
sporah79
sporah :
nimeona nisicomment nisije nikaharibu🥰😅
2026-06-15 18:01:37
0
annaleonard332
anavvley :
😂😂😂future nin🥰🥰
2026-06-16 12:36:47
1
user3738084578758
miss sarah💝💝 :
wow!!! namuona joy apo
2026-07-09 09:35:45
1
user7539859357715
user7539859357715 :
waoooh! natamani niwe mimi maana hata mimi napenda my future wife awe mwenye kumupenda mungu
2026-08-03 12:10:32
0
officialmageh2
Mageh :
Aya binti sayuni 😂😂
2026-06-15 15:49:13
0
anivvley
anivvley :
wachaa future nin😂😂😂
2026-06-15 15:22:52
0
user9754728366777
furniture :
si tulimaliza dear ama ni gan
2026-06-15 15:55:12
0
To see more videos from user @viorinfashion, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About