kaimba yeye ndio ila kuna AI imetumika hapo kwenye kutengeneza sauti yake hayo mambo tunajua sisi maproducer
2026-06-15 17:14:34
19
Alpha Male Joe :
kwa trend ya sasa ya technology, ni ngumu kubaini AI music kwa kupitia sikio la kawaida la kibinadamu. the most effective way is thru AI powered detection tools like Hive AI and Reality Defender.
2026-06-15 23:05:23
0
Jb :
Not AI 🤖. Why lie. That song is not generated. I know Ai song. The can’t make Ai sound so good like that. I’ll never believe
2026-06-15 19:22:41
7
Dettah Bwizzo😜 :
Mimi nitakua mtu wa mwisho kuamini 😂🤣
2026-06-15 20:22:39
9
Leche :
Hiyo nilishaisemaga kitambo kwamba ni Ai
2026-06-15 20:08:07
9
Epic introvert :
Sio Ai hiyo ni criss
2026-06-15 15:46:52
9
ranchad :
nendeni youtube nyimbo otile kushirikishwa bana achen wehu