@kigu2329289947037: Mungu anapofundisha, maisha hupata mwelekeo na moyo hupata amani. Ninamwamini Bwana aendelee kuniongoza katika kila hatua ya maisha yangu.🙏"Na watoto wako wote watafundishwa na Bwana; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi." — Isaya 54:13#Isaya5413 #NenoLaMungu #Imani #AmaniYaMungu #Kiroho #Baraka #YesuNiBwana #Biblia #ChristianLife #MunguMwema #Shalom #UjumbeWaLeo #DailyVerse #Faith #JesusChrist