cm yngu ina stack xn naomba namn y kutatua tecno spark
2026-06-17 19:22:06
0
sabukury :
kaka me sm yangu ndogo aina ya tecno imepoteza kumbukumbu yaan nikiweka lain inaandika invalid shida nn?
2026-07-30 17:59:41
0
Fajom7 :
2026-06-25 11:31:45
0
🧿rachel eliezer🧿 :
mbona yangu hainifikish uku
2026-07-14 17:07:04
0
MARA KWETU TZ :
kaka mimi laptop yangu nikiiwasha ina sema type C update ila port ya type c haifanyi kazi
2026-06-16 22:48:40
0
satiogo :
kaka simu yangu imekataa kujia update
2026-07-02 15:59:59
1
mimmer de value :
kaka naomba unifundishe simu yang haionyesh sms km imeingia kweny sim mpk uangalie sehem y sms sim n samsung
2026-06-29 21:45:35
0
EMPATE :
nimefanikiwa blo
2026-06-16 17:16:42
0
Aloyce_uncut :
Ni ya kulipia
2026-06-17 22:12:05
0
ivanjordt 🎯 :
nimekucheki Instagram inbox kk kimya
2026-06-16 20:47:10
0
#OFFICIAL ABYUCK :
Kaka tunaomba utuelekeze namna ya kufungua telegram bila malipo ww ndo genious wetu kwa hii tz tunapata tabu sana
2026-06-15 18:37:36
0
tz boy 👍👍💕💕 :
simu ganii🤣
2026-06-29 19:55:06
0
user924795146780 :
natafut kioo cha aquos r6
2026-06-16 16:09:43
0
MR,M.J7 :
kiongoz me nimenunua sim ya m horse android vision ya 14 ila camera ya mbele Ina cheza yenyew mda wa kuchukua video au kupiga picha ka sekunde kadhaa tu af Ina Kaa saw inacheza ten shida hii nafanyaje 👏👏
2026-06-15 18:30:57
0
nyembe the great :
namna ya kuhamisha vitu kwenye sm na kwenda sm nyingine
2026-06-16 07:39:50
0
georgeanterius :
🥰🥰🥰
2026-06-17 19:41:43
0
merry chares :
🥰🥰🥰
2026-06-18 07:25:00
0
6142 :
😳😳😳
2026-06-25 18:55:52
0
iqardosilver767 :
😳😳😳
2026-08-01 20:32:48
0
Hamad Babla Babla :
🥰🥰🥰
2026-06-27 09:24:14
0
17md :
😳😳😳
2026-06-27 15:19:00
0
KUMAR 💯💯 :
😁😁😁
2026-07-03 13:42:58
0
Dhia muhammad :
💛💛💛 👍👍👍👍
2026-06-29 09:14:43
0
Romkidd7 💫💫 :
🔥🔥🔥
2026-06-15 16:31:21
0
To see more videos from user @ubeparicompany, please go to the Tikwm
homepage.