@esko_donald: DC @petromagoti aahidi kumpa shamba Teacher Elieza kwaajili ya Kilimo, lakini pia amesema Mkoa wa Pwani ndio Mkoa wenye viwanda vingi hivyo atakapomaliza masomo yake atahakikisha anapata ajira kwenye viwanda hivyo. #TheUmbrella

Esko Donald
Esko Donald
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 16:31:27 GMT
148229
13437
187
56

Music

Download

Comments

fromcanada.123
risk taker 🇨🇦 :
hii ndo media tunataka town 🙏🙏
2026-06-16 04:21:37
87
marcelinnokomanya
Marcelinno :
Huyu jamaa kwanzia leo namkubali sana Mungu akubariki sana Esko & Mh. Tito.🥺
2026-06-15 17:20:13
227
user5281804754024
champion :
DC God bless you so much🔥🔥🔥
2026-06-17 19:46:08
0
the_priceless_closet
The priceless closet :
God is always good, Gods timing is the best thing you can ever rely on... 🥰🥰
2026-06-15 16:42:53
27
aisha.minya
Aisha Minya :
mungu akujalie muheshimiwa magot
2026-06-15 16:48:30
69
gtradiu
G once :
zingatia neno #TUTABANANA HUMOHUMO WOTE, salute
2026-06-15 18:02:06
56
stellamasaki8
masaki health care :
nawakumbusha msmkatie tamaa MUNGU omba na kushukuru
2026-06-15 17:47:43
28
jntcollection0
JnT Collection :
Kidogo aongee kama Rais Magufuli🥰🥰
2026-06-15 19:02:53
13
officiall_zubby
@zubby0077 :
huyu dc nimefanya nae kazi yuko vizuri sanaaa haongopi.
2026-06-16 06:48:14
20
user560017406581
user560017406581 :
Esko Esko Esko nimekuita mara tatu jamani popote ulipo mungu akupe zaidi ya misaada unayosaidia watu uishi sanaa na mungu akubariki sanaaaaaa.
2026-06-16 07:45:26
16
vinamadini13
🎨 Vina Artistry :
Maana halisi ya kiongozi bora,, pongezi kubwa sana kwa media husika Mungu awabariki sana ... 🤲🤲
2026-06-15 17:10:26
20
big.is.big8
big is big :
mungu tulindie uyo esico wetu akae miaka mingi
2026-06-15 18:45:33
11
godfrey.benson1
PAPAPAA ARUSHA MASAI :
hongera san mkuu Wangu Mungu akupe Maisha maref🙏🙏🙏
2026-06-15 16:44:54
21
user3066826077923
user3066826077923 :
Brother Nakupenda sana Brother esco
2026-06-16 07:44:56
6
chazy.waryoba
chazy waryoba :
wakati wa Mungu ni Wakati sahihi
2026-06-15 18:28:19
5
dinidini8233
D-Tv :
good job
2026-06-16 17:59:12
0
faiyuzi1
فايز بامطرف :
Big up sana
2026-06-15 16:35:12
2
fatima_thebest25
FATIMA THE BEST :
ni jambo jema la furaha , ila nmejiskia kulia
2026-06-15 18:01:26
13
zainabuleonard310
zainabuleonard310 :
Esco mtumishi wa mungu wa kweli
2026-06-15 18:03:45
7
markamba2
mark :
magoti wew ni mtu wamaana kabisa,Mungu akubariki sana mh.
2026-06-15 21:17:29
5
user5014445061347
balde :
wakwanza leo braza esko Mungu akubaliki sana
2026-06-15 16:33:25
7
rosewingakariako
Rosemary :
MH.SSH na uongozi wote wako vzr jmn uwiiiii MR MAGOT Ubarikiwe mpaka ushangaeeeeeee😭😭😭😭😭💓
2026-06-16 10:33:24
1
millany204
marixy :
Esko mungu akupe miaka ming
2026-06-16 11:04:45
5
rashidmaulid843
man_chidy15. :
Sema DC mtu wa kipekee sana🖐️🖐️
2026-06-16 18:08:27
4
To see more videos from user @esko_donald, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About