@mamfmradio: Kama umeguswa na Tukio hili la mauaji sema neno kwa wauwaji hao na wafiwa #mwamposalive #ariseandshinetanzania #Upakolive #sibukafm #fungukafm

MAM FM RADIO
MAM FM RADIO
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 17:00:23 GMT
41116
953
108
81

Music

Download

Comments

user958022978323
user958022978323 :
Mashekh tunaomba duwa kwa hao waleyo fanya kitendo hicho
2026-06-16 13:39:06
2
flora.mgao
Flora Mgao :
Watu sasa hivi tunaogopana
2026-06-16 05:16:58
7
nassrath
user4665962289064 :
Allah walaan hao madhalim wasio kua na hofu ya Allah na wameghaflika na maisha ya kidunia Allah tuongoze waja wko ktk haki😭😭😭
2026-06-16 06:16:16
4
sicola255
sicola255 :
mungu atusaidie jamani😭😭😭
2026-06-16 13:49:39
0
user7490734595992
user7490734595992 :
innalillah wainna ilaih rajiuuna poleni wafiwa
2026-06-16 05:12:25
8
user4605161814937
user4605161814937 :
Pole sana kwa familia, jamani tumbo la uzazi la Mama yao halitaacha uchungu pole Mama pole sana.
2026-06-16 14:19:41
0
amshwaria
amshwaria anaph :
polen
2026-06-16 13:17:53
0
user6802702818308
aziz mkumbo :
Tz kama sauzi sasaivi
2026-06-16 13:34:48
0
asmmwao
Mwajuma Chuma :
ni wapi huko
2026-06-16 11:01:40
0
jojolee030
Humble Joo :
Ivi kwann serikali isione kunahaja yakuitisha maombi na dua maluum ya nchi yaani itengwe siku maalum tumlilie MUNgU mbona hali inatisha
2026-06-16 07:27:32
2
hajimshomo7
Haji Mshomo :
imetokea mkoa gani?
2026-06-16 05:56:44
0
tiffah320
tiffah320 :
Allah awape subra wazaz wao inaskitishaaa
2026-06-16 09:01:01
1
messobrigitte
Messo Brigitte23 :
siyo vizuri inaniuma hâta mimi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-16 05:25:15
1
shamira9119
mirha :
Mungu tulindie watoto wetu peke etu atuwezi, najaribu kuvaa kiatu cha huyo mama hakinitoshi ni maumivu sana pole mama😭😭😭
2026-06-16 07:08:41
4
suhailanassor6
beautiful girl :
Allah awahukumu HAO waliowauwa watt ALLAH AMPE SUBRA MAMA WA WATT
2026-06-16 13:58:14
0
user26594533821073
kinyonga :
hya mambo chadam ndiyo wanayapenda
2026-06-16 06:27:57
1
flora.ringo7
floraringo0 :
Mungu mpaka lini.
2026-06-16 08:09:17
1
stellahstevenngas
Stella Steven :
poleni sana wafiwa
2026-06-15 21:25:27
0
zakayo_ndambo
zakayondambo2 :
poren
2026-06-16 13:00:05
0
s.mapo
swaumu mapondanga84 :
😭😭😭😭
2026-06-16 12:35:14
0
aishashuu3
AISHA,,,GODE :
😭😭😭 mtihani kwakweli
2026-06-16 13:32:09
0
odama028
ODAMA :
poleni munguatalipa mungu nimkali
2026-06-16 14:33:44
0
user6810628496706
rebek *£& :
pol
2026-06-16 13:34:32
0
adelaida6815
adelaida :
Eeh Mungu tulindie wajukuu wetu pamoha na watoto wetu
2026-06-16 13:12:38
0
khadija.kmwaipaya
Khadija Kmwaipaya :
innalilah wainnallilah rajuun
2026-06-16 04:16:30
0
To see more videos from user @mamfmradio, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About