Ifike muda baba aseme ni kweli wakwake au aliibiwa na mama
2026-06-15 17:55:34
1
mk moses J :
hii comb ni hatale 😂😂
2026-06-16 06:51:02
0
Omary ramadhani :
nimefulay kwenye kingereza chako na kwenye mate pale mwazon sikua nimekuelewa ila mwisho nikacheka sana mungu akubarik sana mau fundi me shabik yako sana