Nataka kuamin ila , kama nitaambiwa hii video imeunganishwa , maana hapo mtoto anapo piga mateke na mangumi tumboni na hizo nguo alizo vaa wema ni tofaut labda kama ni video 2 tofaut
2026-06-16 19:31:47
5
Asia Hamis :
mungu Asante kwakuzihilisha ukuu wako🙏🙏🙏🙏
2026-06-16 07:15:17
10
Princess(@A@)💞💞 :
Mambo kwa ushaahidiiii 😂😂
2026-06-15 20:19:44
10
h.mneney :
lelelelelele haya mtoto huyo anacheza kwa wemaake👏
2026-06-16 06:50:08
6
Wilkister :
aaahhh Sara of old days
2026-06-16 03:32:28
1
Raysheen alade :
ooooh the baby kicking at the end got me in tears,hongera kipenzi wema🥰🥰🥰
2026-06-16 12:04:52
0
Kiota Kinds :
waoooooo🥰🥰🥰🥰
2026-06-17 06:15:10
0
Anold lydia :
congratulations
2026-06-16 10:10:32
0
Princess Elzin 💕🎀🌸..022💕🎀 :
Ninachojua Wema Ana babe boy mzr ❤️🥰 Mengine mnayosema hayanihusu Jamn mungu Yupo na Anatenda❤️
2026-06-16 03:31:28
6
Mwamini Asante :
na bado watasema cyo kweli binadamu bhana
2026-06-15 21:19:36
8
Mrs Seif🥰og :
mbona ata iyo video ya kwanza mtoto kacheza au hamuoni
2026-06-16 05:25:45
5
Candy 🍭♎️libra :
kacheza kabisa
2026-06-17 15:49:26
2
Nassir :
Nimeamini hamna mgumba wakati sahihi wa mungu ukifika kila mmoja atapata kwa wakati wake Kikubwa subra tuu
2026-06-16 16:30:42
3
Carolina Erasto :
ata m nimeona video mbili tofaut
2026-06-16 17:26:42
1
chi💕mami🇹🇿llioni💵 :
AI
2026-06-16 01:46:48
0
To see more videos from user @djfanny257, please go to the Tikwm
homepage.