nasaha kwa wenye kuamini 🥰
ukhty yangu quran yataka tuisome na kuielewa na kama twaielewa wallahy sidhani kama ungeweza hata kuitoa sauti yako na hivo ulivo viungo zote ziko wazi 😭😭😭😭😭nakukumbusha ndugu yangu nakupenda .kwa coment watu hupotezana na utaona wafanya ni jambo zuri kusoma quran lakini nikinyume chake ...tuliambiwa utakuja wakati tutafanya mambo tukiona ni kheri ndio huu saa wakati ushatufikia .
2026-06-16 06:54:04
23
ubayaubwela1 :
ria tuu
2026-06-17 11:53:28
1
analhassan72 :
mashallwah
2026-06-17 13:30:17
0
Chabi❤️ :
Mashaallah mashaallah mashaallah❤️ujumbe mzuri sana kwa anaeijua Quran na tafsiri yk na akaifanyia kazi
2026-06-17 11:18:46
0
FatmaAlly :
Ma Sha Allah🥰
2026-06-15 17:43:05
1
munaa4755 :
umeolewa
2026-06-15 18:12:18
1
Paranjo25 🇹🇿 🇴🇲 :
#Mashallah Napenda Sana Mwanamke Akisoma QURAAN Hakika ALLAH Akuzidishie & Akupe HITAJI La MOYO Wako...
2026-06-16 06:14:13
2
zanzibariya :
mashallah allah akuzidishie elmu
2026-06-15 21:01:43
0
1643f6 :
Mama mkwe mama mkweee
2026-06-16 04:23:28
1
Alhajj Yamlinga :
upo wapi
2026-06-16 18:43:46
0
hawaynasujayna :
mashallah hivi ndo inavotakiwa uwe nakuenda sn
2026-06-17 05:53:32
0
Ammooh 112***** :
amina mmoja tu
2026-06-16 22:19:47
0
user3085906879209 :
Assalam aleykum mimi ni mbajun pia
2026-06-16 06:58:58
0
Meme escober :
allah akupe hifadhi dada yangu usichoke 🥰
2026-06-16 16:35:30
0
Anasco🇹🇿 :
Al bajuni mmoja tuu zanzibar nnzima🙌👏
2026-06-15 18:26:10
1
Mnajimu_kuluthum :
mashaallah mashaallah mwenye.mungu akuhifadhi na azid kukupa daraja la elimu
2026-06-16 04:41:29
0
aunty shamy :
nakupenda dada kwa ajili ya Allah🥰🥰🥰
2026-06-15 21:07:16
0
Captain A :
MAA SHAA ALLAH ,ALLAH BATIQ
2026-06-16 08:57:41
1
{ Arbaab 💙 Nadir } :
MASHA'ALLAH... ✍️
2026-06-15 17:58:29
1
NINOTHABIT :
mashaallah
2026-06-15 19:39:11
1
Fatmihmaa :
Mashallah
2026-06-18 03:34:17
0
swahaba01 :
mm pia mbajuni
2026-06-18 09:09:18
0
Fatma Mustaph :
mashallla mdogo alla akulipe
2026-06-18 16:24:26
0
Khamis Kiti :
mashallah mashallah mashallah Allah barik
2026-06-18 04:45:02
0
Malik Sharif :
Maasha.allah
2026-06-18 18:37:33
0
To see more videos from user @albajun0, please go to the Tikwm
homepage.