@abduli066zanzibar1: Watanganyika wanasema wazanzibar wanapata faida kubwa ya huu muungano kisa raisi na serikali ya zanzibar wao husema mbona wanataka serikali ya tanganyika..Sasa msikilizeni mtanganyika mwenzenu mwenye akil timamu kuhusu serikali ya zanzibar iyo mnosema zanzibar mbona wanayo tanganyika hamna ...je nyinyi Watanganyika mngekubali serikali kama ya zanzibar hii ?

Abdulikiongozi 01
Abdulikiongozi 01
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 18:54:59 GMT
492
18
4
1

Music

Download

Comments

shufeill
shufeill :
Umeongea ukweli
2026-06-15 21:05:05
0
user3007427113305
machano :
mjumbeee tuuuu daaah 😭😭😭
2026-06-15 20:40:37
1
To see more videos from user @abduli066zanzibar1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About