@elimunahekimakwawote: Tumtegemee Allah Kwa kila hali

Elimu na Hekima
Elimu na Hekima
Open In TikTok:
Region: QA
Monday 15 June 2026 19:22:17 GMT
39869
1311
77
84

Music

Download

Comments

bofree5
bofree :
mashallah huyu alikuja Mombasa akiwa mdogo sana pamoja na shk mazinge na yahaya.
2026-06-21 15:24:27
17
zebingwa2
ze Bingwa og :
huyu ndo Sheikh sharif tunaemjua Sasa.
2026-06-22 06:22:44
16
ummu.fatma38
malkia rukia 👸 :
mashaallah Allah akuifadhi nilimuona nikiwa mdogo alikuja mombasa mikindani
2026-06-23 06:19:52
4
rahimaramdan953
rey :
huyu ndo mwenyew original sas
2026-06-22 10:14:36
7
mvakuleduniasoule
Mvakule dunia Souleiman :
MashaAllah alikuja congo akiwa mdogo Allah azidi kumlinda InshaAllah na Allah atulinde sote InshaAllah
2026-06-21 18:49:50
5
_islamic_teachings1
Qur'aan & Translation :
masha ALLAH 💚 huyu ndio aliyemsilimisha marehemu Mamangu 17/ sep/1996 wakiwa pamoja na prof Mazinge n marehemu Yahya
2026-06-26 06:06:21
0
user8122163717220
ally habibu :
ewe mola wetu mlezi naomba utupe mwisho mwema
2026-06-23 05:37:10
2
nana.mohamed52
Nana Mohamed :
MashaAllah alikuja kenya ujamaa mdogo
2026-06-21 17:58:14
3
shabanijuma525
shabanijuma525 :
ma shaa Allah ila anaonekana mgonjwa
2026-06-22 15:27:00
2
hamissplatnum4
Hamissi platnum :
safi sasa aionye ccm
2026-06-21 18:16:14
2
user27649699
mariamu :
ALLAH MABARIK
2026-06-21 14:44:52
2
user9112049668106
johary masoud :
mashaallah mwenyezimungu akuongoz katik njia iliyo nyooka inshaallah
2026-06-15 19:56:57
3
hawa79865
hawa :
Maa Sha Allah sheikhe sharifu Allah akuhifadhi akupe umri mrefu wenye kheri na akujalie afya njema akuondoleye maradhi akupe husunulkhatima
2026-06-22 23:18:33
1
mayasandakizye
Mayasa Ndakizye :
Masha allah nilimuna Akiwa Bado mdogo Urambo Kwa Mzee Kicha
2026-06-22 20:33:09
1
pack.man247
omar :
MashaAllah
2026-06-21 12:51:51
1
rishadmohamed980
Rishad Mohamed :
masha allah allah hahifadhi
2026-06-23 18:20:24
0
wamba.d
Wamba D :
mashaallah ,shekhe sharifu upo wapi kwa sasa na napataje mawasiliano yakoo
2026-06-20 18:18:28
0
hamissplatnum4
Hamissi platnum :
samahani lakini
2026-06-21 18:19:21
1
tunkitchen
tunkitchen :
Alikua mdogo sana
2026-06-23 05:53:48
0
user881728748256
laaziz meimaa :
ma shaa Allah maisha marefu yenye kheir for many years hadi leo namuona tena aliwahi kuja tukamuona ukunda pale mwakigwena primary
2026-06-23 06:46:03
0
farhiyaid
Madam :
duh! Zamani saaaaana
2026-06-26 03:31:16
0
ibrahimrhamu
ibrahim M :
MashaAllah Sheikh Sharifu. Alikuja Mandera akiwa mdogo alongside Sheikh Ibrahim.
2026-06-23 07:24:29
0
yuzzle_mdudu
yuzzle_mdudu :
MASHALLAH SHEKHE ALLAH AKUPE UMRI MREFU
2026-06-23 12:17:36
0
ngwinajuma
ngwinajuma :
naaam mashaallah huyu ndio mwenyewe kabas tuna mjua kwa muda mrefu san Allah amjaalie kiher Amiin
2026-06-23 06:49:12
0
abuhamzarajab
DOCTOR SHEE :
masha Allah Tabarakallah
2026-06-21 19:39:10
0
To see more videos from user @elimunahekimakwawote, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About