@marioonewss: Mtumie Babe wako ii nyimbo utanishukuru badaee 🥰🤭 #Priority #Marioo #fyp #trending #fyppppppppppppppppppppppp

MARIOO
MARIOO
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 15 June 2026 19:26:08 GMT
778350
94734
655
3819

Music

Download

Comments

halima98417
Halima kigori 🍀🌹 :
Uyo dada atatupigia kelele baada ya apo 😂😂
2026-06-16 08:01:31
690
itsjess106
~❥ 𝒥ℯ𝓈𝓈𝒾ℯ ❥🏀 :
Ma model wadogo wadogo leo kazi tunayo 😂😂🙌🏼
2026-06-16 10:13:30
309
estyglow62
❤️estyglow🦋 :
ngoja nitafte brufen mapema huyo binti akitoka hapo ni vita😅😅😅😅😅😅
2026-06-17 01:57:49
88
its.ney369
it's ney🌸🌸 :
wangapii tunakubali ms royalty
2026-06-17 07:01:35
15
jox4u
jox :
Tunaomkubal marioo gonga like apa🔥
2026-06-15 19:32:01
7
emmyunyongwa
Emmy 💖💖 :
kama unampenda marioo ka mm gonga like hapa😍😍
2026-06-15 19:39:43
77
sinamda5
Erick Nails saloon :
Marioo unajua kuimba ila jaribu kbadilisha biti nyimbo zako Nakkubali 💪
2026-06-16 19:35:38
9
7prince95
PRINCE 7 :
Wewe Marioo 🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-06-16 02:47:59
10
babe_eyes
Babe_Eyes :
Mkaka mzuri anaenipenda humu aje tu nimuimbie hii nyimbo kwa upendo 🥰
2026-06-16 09:29:58
15
nancyjohn939
Nancy Beauty😘❤️ :
20/20 kujeni plz
2026-06-16 15:20:42
6
djumberugenyeka
Djumbe Rugenyeka :
saluting bro
2026-06-15 19:43:43
5
desiri94
desiri :
Marioo jina ra nyimbo tafadhar
2026-06-17 14:39:16
6
angelwillson6
Angel Official :
uyu dada n mzur sio yule rafiki yake
2026-06-16 09:59:17
6
ryne8004
ryne :
nmetuma na hajajibu kitu ni huzuni🤣🤣🤣
2026-06-17 19:28:36
10
luca_toni912
&LUC@_TONI_HEAVY_WEIGHT&👊🧢 :
9999/9999🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-17 08:45:37
7
jackiesimba
jacksimba :
mariyoo uyo uko nyuma yako anafanya nini sasa si bora umweke apo mama amarah khaaa😅
2026-06-16 13:49:48
6
gastomscurvior
gastom scurvior+255 :
ona mniambieni jina la wimbo kabla sujafanya fujo humu ndani
2026-06-18 03:43:15
5
anney1842
annie :
naomba nipasue simu maan sitaki kelele.itakayo kuja
2026-06-17 10:14:12
8
user.johh
kalast born :
nani kam omari, kam akuna eka 👍
2026-06-16 07:27:28
7
shining.star2284
shining star 🌟 ♥ :
Jaman mbona watu hampendi maendeleo ya dada wawatu jamani😏
2026-06-16 14:27:52
6
deborahkazimoto28
Deborah Kazimoto🥰 :
marioo anavyoimbaga sasa utadhan kuimba ni rahisi kiivyo 😅 ila baba Amarah anajua bn
2026-06-16 02:12:04
10
chumu_01
mumu🌺 :
uyo nyuma ndio nn hv
2026-06-16 08:32:38
10
sueh_mycol
Sueh✨️🇦🇷 🇳🇴 :
Huyo mdada hapo nyuma anafanya nini hasa😂😂😂😂
2026-06-16 07:59:15
6
To see more videos from user @marioonewss, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About